Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PDB yataka mazingira bora ya biashara

KAIMU Mkurugenzi wa Taasisi ya President’s Deliver Bureau (PDB), Peniel Lyimo, ameitaka serikali kujenga mazingira bora kwa wafanyabiashara na watu walio katika sekta binafsi. Alisema ikiwa serikali itaondoa baadhi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JK:Tunaandaa mazingira bora ya biashara kuongeza ajira

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema nguvu kazi nchini kufikia mwaka 2030, itaongezeka mara mbili ya sasa wakati idadi ya watu itakapofikia milioni 50.

 

5 years ago

Michuzi

Mazingira bora ya uwekezaji na biashara ni nguzo ya ukuaji wa sekta ya mawasiliano ya simu

Teknolojia ya dijitali imebadili nchi nyingi barani Afrika. Programu mpya za simu zimesaidia biashara za kila namna kuibuka na kukua. Mabadiliko haya yamekuwa na tija kubwa kwenye sekta ya ajira na uzalishaji mali na yameleta ahueni kiuchumi kwa nchi nyingi barani hapa.
Katika nchi yangu za Afrika maendeleo haya ya kidijitali yamewezakana kutokana na uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya mawasiliano pamoja na serikali za nchi husika kuunga mkono juhudi za sekta za sekta binafsi kisera na...

 

10 years ago

Michuzi

PDB YAKIRI KODI ZA BIASHARA SIZIZO RASMI HUISHIA KATIKA MIFUKO YA WATU NA SIO SERIKALI.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya Vyuo Vikuu vya Afrika ya Kati na Kusini (ESAURP),Profesa Teddy Maliyamkono akifanya mahojiano mafupi na Waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwajengea uwezo sekta biashara zisizo rasmi  iliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wadau na Wanahabari  wakifuatilia mkutano wa uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na wakati kuhuisha biashara zao ili kupata huduma za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TASJA yataka Saadani kutunza mazingira

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Sayansi (TASJA), kimewataka wakazi wanaoishi eneo la Hifadhi  ya Saadani, kuhifadhi mazingira ya Mbuga hiyo ili iweze kuendelea kuwa historia hadi katika vizazi  vijavyo....

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YATAKA KILA KAYA KUWA NA CHOO BORA

SERIKALI imewaagiza maafisa  wa  afya nchini  kuhakikisha  kila kaya inakuwa  na choo bora  ikiwa ni hatua ya kuhakikisha  jamii inaepekana  na magonjwa  yanayotokana na uchafu  mazingira , sambamba  na   suala la usafi wa mazingira  kuwa endelevu  kama ilivyoagizwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  John Pombe Magufuli.Aidha Serikali imepiga marufuku ulaji wa matunda yaliyomenywa barabarani.
Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...

 

11 years ago

Michuzi

MRADI WA TIER 1 KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA.

Mazingira ya biashara nchini yataendelea kuimarika na kuinufaisha nchi na wananchi kwa ujumla iwapo mradi wa Tier 1 utatekelezwa kikamilifu kwa wakati na kwa kuzingatia malengo yanayokusudiwa.   Mradi wa TIER 1 ni mradi unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP wenye lengo la la kujenga uwezo wa kuchambua, kushirikisha kuongeza ufanisi wa watendaji wa Serikali katika Sekta ya Viwanda, Biashara na Masoko ili waweze kuboresha Sekta hiyo na kuifanya kutoa mchango mkubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa: Kuboresha mazingira ya biashara kutachochea ukuaji uchumi

Rais mstaafu, Benjamin Mkapa anaamini Bara la Afrika linahitaji kuongeza juhudi katika kuboresha mazingira ya biashara.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu bora inahitaji mazingira salama

MAENDELEO ya taifa hupimwa kwa ubora wa elimu na taasisi zilizo chini yake, msingi imara wa elimu ni chachu ya mafanikio hasa kwa vijana.

Inapozungumziwa elimu bora si utoaji wa vitabu na madawati pekee katika shule, bali hata mazingira ya kusomea huongeza mafanikio ya elimu na kukuza maarifa.

Kwa kutambua hamasa hiyo ya mazingira mazuri ya kujifunzia kampuni ya AAR Health Care inayotoa huduma ya afya nchini imeandaa utaratibu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa mazuri kuanzia katika...

 

9 years ago

Michuzi

MKAKATI KABAMBE KUIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA, UTALII MBIONI-TNBC

 Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamHatua thabiti za utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) zinatarajiwa kujulikana wiki chache zijazo.
Maazimio hayo yanalenga hasa kuimarisha mazingira ya biashara nchini na sekta ya utalii.
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa TNBC, Bw. Raymond Mbilinyi (Pichani) alisema hatua za utekelezaji maazimio mbalimbali ya kuimarisha sekta hizo zitajulikana katika mkutano wa 9 wa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani