Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENNY UNATAKA MTOTO SAWA, UNAKUMBUKA MADUDU ULIYOYAFANYA NYUMA?

Kwako mtangazaji, Penniel Mungilwa ‘Penny’, mambo vipi? Mishemishe za mjini zinakwendaje? Umejiandaaje na Sikukuu ya X-Mas? Binafsi mimi ni mzima wa afya, namshukuru Mungu hakuchi kunakucha. Naendelea na majukumu yangu ya kila siku maana kazi yangu mimi ni kama ya madaktari, haina cha sikukuu, nitalala uzeeni lakini sa hivi acha niendelee kusaka matukio na kuwajuza Watanzania. Madhumuni ya kukukumbuka leo katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

PENNY AGOMA KUULIZWA KUHUSU MTOTO WA DIAMOND

Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha Yamekuwa hayo? Aliyewahi kuwa mwandani wa staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Penniel Mwingilwa `DVJ Penny’ amegoma kuulizwa chochote kuhusu kitendo cha zilipendwa wake huyo kupata mtoto wakati yeye alidaiwa kukataa kumzalia. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1UNuQra

 

10 years ago

GPL

PENNY: NATAMANI MTOTO, SINA WA KUZAA NAYE

Stori: Imelda Mtema
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penniel Mwingilwa.
Penny alitoa tamko hilo baada ya Diamond kunukuliwa jana (Alhamisi) na gazeti dada la hili, Amani kuwa, alimpa mimba mara mbili binti huyo lakini zikayeyuka katika mazingira ya kutatanisha. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni...

 

10 years ago

GPL

MTOTO AZALIWA BILA UBONGO WA NYUMA!

Na Haruni Sachawa
NImaajabu! Mwanamke mmoja, Diana Dioniz  mkazi wa Magomeni Makuti jijini Dar es Salaam, ameangua kilio cha kuomba msaada baada ya mtoto wake aliyezaliwa mwaka mmoja uliopita kugundulika kuwa hana ubongo wa nyuma (medulla oblongata), hali inayosababisha shingo kulegea na macho kutoona. Mtoto anayedaiwa kuzaliwa bila ya ubongo wa nyuma(medulla oblongata). Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake, Diana...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je ni sawa kumnyonyesha mtoto hadharani?

Sasa hivi Facebook imebadilisha sheria zake kuhusu picha za wanawake wakiwanyonyesha watoto wao.

 

10 years ago

Bongo Movies

Johari: Nina mtoto sawa, mnataka kumjua baba yake ili iweje?

Staa wa Bongo Movies, Blandina Chagula  ‘Johari’ amedai kushangazwa na watu wanaoshindwa kufanya mambo yao binafsi na kuanza kufuatilia maisha yake pamoja na mtoto wake.


ohari ameiambia Bongo5 kuwa anaishi kwa furaha na mwanae licha baadhi ya watu kumfuatilia na kutaka kujua mtoto wake amezaa na nani kitu ambacho hapendi kukiweka wazi kwa sasa.
“Sidhani kama kuna mtoto ambae anakosa baba,” amesema muigizaji huyo.


“Siku nitapokuwa tayari nitamweka wazi baba yake ili waridhike. Kwa sababu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta unakumbuka ahadi hii!

UPO usemi kwamba ukiwa muongo, basi uwe na kumbukumbu ya kile ulichokisema jana yake. Hivi ndivyo naweza kumkumbusha Samuel Sitta, Mwenyekiti wa lililokuwa Bunge Maalum la Katiba ambalo lilikutana kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani