Picha: Riyama Ndani ya Mombasa Kikazi…
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally ameshare nasi picha hizi kupitia ukurasa wake mtandaoni akiwa mjini Mombasa nchini Kenya.
“Alhamdulilah tulifika salama Mombasa Asanteni sana kwa duwazenu mawasiliano kwa upande wetu Haya kua poa ila sasa yapo pouwa tuna wapendwa sana damwani” RIYAMA aliandiaka hayo mara baada ya kuweka picha na kuendelea;
"Asante wenyeji wetu kwa mapokezi mazuri Mungu awabariki sana inshallah amin....."
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 May
Riyama Ana Haya Kuhusu Picha Hii
“Duniani wawili wawili ndugu yetu hatupo nawe ila kuna wakaka umefanana nao Dah kazi ya Mungu haina makosa wakati kati Marehemu kanumba wa kushoto na kulia ni wakaka waliofanana na Marehemu kanumba
Mungu akurahamu akusamehe dhambi zako akuweke panapo stahili kwa bahati nzuri hawa nao ni wasanii wazuri tu mimi nawaombea muje kua kama Marehemu katika Kila kile alicho kua nacho na kuwa kioo chetu Ishallah ili muwe faraja kwetu sisi wasanii wenzake pia kwa wapenzi wa kazi zake tulimpenda ila...
10 years ago
Bongo Movies23 Jul
Picha: Riyama Akiwa Mzigoni ‘Akishuti’ Kazi Yake Mpya
Hizi ni baadhi ya picha za mkali wa bongo movies, Riyama Ally alizo-share nasi kupitia ukurasa wake mtandaoni zikimuonyesha akiwa anashoot filamu yake mpya.
“Naipenda sana kazi yangu Mungu ibariki...”Riyama aliandika kwenye picha hiyo hapo juu.
Hongera kwa kazi
9 years ago
Bongo521 Dec
H.Baba azirejesha ‘Tuzo za Familia’ Dully Sykes na Riyama washinda (Picha)
![Dr. Fadhili Emily akiiwakilisha The Fadhaget Sanitarium Clinic akimkabidhi Tanzanite tuzo ya ubalozi wa Kliniki hiyo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Dr.-Fadhili-Emily-akiiwakilisha-The-Fadhaget-Sanitarium-Clinic-akimkabidhi-Tanzanite-tuzo-ya-ubalozi-wa-Kliniki-hiyo--300x194.jpg)
Tuzo za Familia za msanii wa muziki, H.Baba akishirikiana na mke wake, Flora Mvungi zimefanyika kwa mara ya pili, Jumapili hii ndani ya City Style Hotel iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam ambapo wawili hao waliondoka na tuzo na Best Couple of The Year 2015.
Flora Mvungi akijiandaa kumkabidhi Riyama tuzo
Katika tuzo hizo, Dully Sykes aliondoka na tuzo ya Hall Fame of The Year 2015 kwa upande wa muziki huku Riyama Ally akiondoka na Hall Fame Of The Year 2015 kwa upande wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-zhWwa34nuFY/VT9KWkN37LI/AAAAAAAHTv4/g3DNapRZb-Q/s72-c/unnamed.jpg)
Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla kikazi ndani ya jimbo la peramiho-songea.
![](http://2.bp.blogspot.com/-zhWwa34nuFY/VT9KWkN37LI/AAAAAAAHTv4/g3DNapRZb-Q/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Pichaz 10 za show ya Yamoto Band ndani ya Mombasa Kenya, mashabiki walivyochezeshwa kimadoido …
Yamoto Band baada ya kusambaza upendo wa burudani pange za Geita, Mwanza, Songea, Mbinga na Mbambabay, usiku wa mkesha mwaka mpya yaani December 31 walioamua kwenda kutoa burudani ya nguvu kwa majirani zao wa Kenya. Yomoto Band walidondosha burudani pande za Mombasa Kenya. Yamoto walipiga show ya hit singles zao zote na kuukaribisha mwaka mpya […]
The post Pichaz 10 za show ya Yamoto Band ndani ya Mombasa Kenya, mashabiki walivyochezeshwa kimadoido … appeared first on...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-yIsLTLt_Qcg/VZyVattG7UI/AAAAAAADw58/Opvatnh3NLk/s72-c/d1c1733852dda3f64dc0c4e3ebbe8f29%2B%25282%2529.jpg)
PICHA YA PAMOJA NDANI YA DALLAS, TEXAS
![](http://1.bp.blogspot.com/-yIsLTLt_Qcg/VZyVattG7UI/AAAAAAADw58/Opvatnh3NLk/s640/d1c1733852dda3f64dc0c4e3ebbe8f29%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
Bongo514 Jun
KTMA 2015: Red Carpet na ndani ya ukumbi ( Picha)
9 years ago
Bongo Movies27 Dec
Picha:Hiki Ndicho Alichokifanya Diamond Ndani ya Dar Live
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alifanya shoo baab’kubwa usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Na hizi ni baadahi ya picha za shoo hiyo.
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Picha: Moto Wazua Taharuki Jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nchi wakiwa katika wamesimama nje ya jengo hilo baada ya kutokea hitilafu ya cheche za umeme katika gholofa ya nne.
Wafanyakazi ambao walipata mshtuko wa ghafla wakiwa nje ya jengo hilo.
Baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wanaofanya kazi zao katika jengo hilo la wizara ya mambo ya ndani wakitoka nje baada ya hitilafu hiyo.
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, SSP, Advera Senzo Bulimba,akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la wizara ya mambo ya ndani...