Pinda azitaka benki kwenda vijijini
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema sasa umefika wakati wa benki kuwa rafiki wa wananchi vijijini.
Amesema kwa sasa nchi za Afrika zinahitaji kuwaleta wananchi wa maeneo ya vijijini kuanza kuwa rafiki wa benki kama njia ya kuwainua katika uchumi.
Alitoa kauli hiyo alipofungua mkutano wa wataalamu wa sekta ya benki wa nchi za Afrika, Dar es Salaam jana. Hotuba yake ilisomwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Christopher...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wflBHkavd4E/XqsQDFXaZII/AAAAAAALosU/aRfJgzp-WiMf5OML9wdUKnPk9oQ3RNqnQCLcBGAsYHQ/s72-c/5a10b6eb-68bf-4978-b217-47ae804e124f.jpg)
SAFARI ZA KWENDA KUWATEMBELEA NDUGU VIJIJINI ZISUBIRI CORONA IISHE – DKT. SUBI
![](https://1.bp.blogspot.com/-wflBHkavd4E/XqsQDFXaZII/AAAAAAALosU/aRfJgzp-WiMf5OML9wdUKnPk9oQ3RNqnQCLcBGAsYHQ/s640/5a10b6eb-68bf-4978-b217-47ae804e124f.jpg)
Mkurugenzi wa huduma za kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akieleza jambo wakati akiongea na Waandishi wa habari katika juu ya mwenendo wa kampeni ya “Mikono safi, Tanzania salama” inayolenga kuelimisha wananchi juu ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
********************************
Na WAMJW- DSM
Mkurugenzi wa huduma za kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi ametoa wito kwa...
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Matukio mbalimbali ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda Mbeya mjini na vijijini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi baada ya kufungua vyumba vitatu vya Maabara katika shule ya sekondari ya Songwe mkoani Mbeya Febrari 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya sekondari ya Iwambe wilayani Mbeya wakati alipofungua na kukagua maabara tatu za shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 25, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Norman Sigalla.
10 years ago
MichuziREA KUHUSISHA SEKTA BINAFSI PAMOJA NA BENKI NCHINI ILI KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI UMEME VIJIJINI
Hatua hiyo itasaidia kuleta maendeleo ya haraka na kufikisha umeme katika maeneo ya vijijini katika maeneo mengi hapa nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava wakati akiongea katika kikao kilichohusisha Bodi ya Wakala wa...
11 years ago
MichuziPINDA ASAFIRI KWA TRENI KWENDA READING KUZUNGUMZA NA WATANZANIA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipanda treni kutoka Reading kwenda London Uingereza baada ya kuzungumza na watanzania waishio Reading Julai 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Dewji Blog24 Jun
Pinda ahudhuria mkutano wa Benki ya Dunia
Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier.
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza waandishi hao...
10 years ago
Dewji Blog16 Jan
Pinda akutana na viongozi wa benki ya BADEA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya kukutana nao kwenye Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 16, 2015.Kutoka kushoto ni Abdulrahman Bin Saleh Al-Otaishan na Abdelaziz Khelef.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kushoto) akiteta na Kiongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) , Abdulrahm Hassan Naq baada ya mazungumzo kati ya Waziri Mkuu,...
10 years ago
MichuziMH. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA BADEA
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Pinda akutana na ujumbe wa Benki ya Dunia
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya...