Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAFARI ZA KWENDA KUWATEMBELEA NDUGU VIJIJINI ZISUBIRI CORONA IISHE – DKT. SUBI


Mkurugenzi wa huduma za kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akieleza jambo wakati akiongea na Waandishi wa habari katika juu ya mwenendo wa kampeni ya “Mikono safi, Tanzania salama” inayolenga kuelimisha wananchi juu ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.

********************************

Na WAMJW- DSM

Mkurugenzi wa huduma za kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi ametoa wito kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Serikali yatoa wito wananchi kujiepusha na rushwa wakati huduma za afya-Dkt. Subi


Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii

SERIKALI imetoa wito kwa wananchi kuacha kutoa rushwa kwa wahudumu wa afya pindi wanapopatiwa huduma kwani kutoa kutoa huduma ni wajibu wao.

Hayo ameyasema  Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Dkt. Leonard Subi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Wanawake Wanataka Nini inayoratibiwa na Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya Utepe Mweupe Tanzania ambayo hufanyika Kila Machi...

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda azitaka benki kwenda vijijini

Waziri-Mkuu-wa-Tanzania-Mizengo-Pinda1Na Michael Sarungi, Dar es Salaam

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema sasa umefika wakati wa benki kuwa rafiki wa wananchi vijijini.

Amesema kwa sasa nchi za Afrika zinahitaji kuwaleta wananchi wa maeneo ya vijijini kuanza kuwa rafiki wa benki kama njia ya kuwainua katika uchumi.

Alitoa kauli hiyo alipofungua mkutano wa wataalamu wa sekta ya benki wa nchi za Afrika, Dar es Salaam jana. Hotuba yake ilisomwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Christopher...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Bado kuna safari ndefu kuimaliza corona - WHO

Watu 106,000 wathibitishwa kuwa na maambukizo ndani ya saa 24.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE BUKOBA VIJIJINI LEO MKOANI KAGERA.

Wananchi wa kijii cha Rukoma kata ya Rukoma wakiwa wamekusanyika wakimsilikiza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa hadhara jioni ya leo Bukoba vijijini.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Katoro jioni ya leo wilayani Bukoba vijijini,mkoani Kagera. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Katoro jioni ya leo wilayani Bukoba Vijijini,mkoani Kagera.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Michuzi

MSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA WAPOKELEWA KWA FARASI MIKOCHENI -WILAYA YA MOSHI VIJIJINI

 Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ukipokelewa kwa farasi wakati wakiwasili katika kata ya TPC kijiji cha Mikocheni wilaya ya Moshi Vijijni mapema leo asubuhi,tayari kwa kuanza ziara ya jimbo la Moshi Vijijini mkoa wa Kilimanjaro.Ndugu Kinana alizungumza na Wananchi wa kijiji hicho na kuzisikiliza matatizo yao,hasa suala la Ardhi.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wako mkoani Kilimanjaro katika ziara ya siku...

 

11 years ago

GPL

ATCL YAANZA SAFARI YA KWENDA MBEYA

Kaimu mkurugenzi wa  biashara na masoko wa shirika la ndege la Air Tanzania, Juma Boma (wa pili kulia) akipanda ndege mpya aina ya CRJ-200 katika uwanja wa ndege Julius Nyerere muda mfupi kabla ya kuondoka kwenda uwanja wa ndege wakimataifa wa Songwe. Shirika hilo limeanza safari zake kwenda Mbeya ambapo itaruka mara nne kwa wiki.…

 

11 years ago

Michuzi

ATCL yaanza safari za kwenda Mbeya

 Kaimu mkurugenzi wa  biashara na masoko wa shirika la ndege la Air Tanzania (ATCL) Juma Boma (wa pili kulia, Kaimu mkurugenzi wa ufundi Patrick Itule (wa tatu kulia) na Meneja wa Kanda ya Mbeya wa shirika hilo Shabani Mtambalike (kulia) wakishangilia, pamoja na wageni wengine, kuwasili kwa ndege ya ATC katika uwanja wa ndege wakimataifa wa Songwe  jumatatu mchana. Shirika hilo lilitumia ndege yake mpya aina ya CRJ-200 kuzindua safari zake ambapo itasafiri mara nne kwa wiki.  Kaimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015

Fukuto la kumpata mgombea wa kiti cha urais kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 kwa tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linazidi kupamba moto huku ikielezwa kuwa jina la mgombea litatajwa kabla ya Mei mwakani.

 

5 years ago

CCM Blog

TRUMP AZUIA SAFARI KUTOKA ULAYA KWENDA MAREKANI

  Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitishwa kwa safari za ndege kutoka nchini humo hadi barani Ulaya kama mbinu ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Trump amesema, marufuku hayo yatatekelezwa kwa muda wa siku 30 zijazo kuazia siku ya Ijumaa lakini hatua hii haitaithiri Ireland na Uingereza, ambayo ina maambukizi 460.
"Ili kuzuia visa vipya maambukizi ya Covid-19 kuingia katika nchi yetu, nitazuia safari zote kutoka Ulaya hadi Marekani kwa siku 30 zijazo," amesema rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani