Pinda: Mungu pekee anamjua Rais ajaye
Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ambaye alitangaza “kimya kimya†nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, jana alichukua fomu kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho, akisema “ni Mungu pekee ambaye anamjua Rais†wa Serikali ya Awamu ya Tano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Makinda: Mungu tu ndiye anamjua rais ajaye
10 years ago
Habarileo19 Jan
Bilal: Rais ajaye amhofie Mungu
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Ghalib Bilal amesema kigezo kikuu cha Rais ajaye ni kuwa mwenye hofu ya Mungu na Serikali itahakikisha Uchaguzi Mkuu unafanyika kwa misingi ya haki na amani.
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
JK azungumzia Rais ajaye
NA MWANDISHI WETU, BEIJING
“NINGEPENDA Rais ajaye baada yangu awe bora kuliko mimi.” Ni kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwa mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini.
Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi mjini hapa, alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza na wawakilishi hao wa Afrika na kuwaeleza hali ilivyo Afrika kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kilichomsukuma Rais kuzungumzia mustakabali huo wa uongozi wa taifa, ni swali aliloulizwa na mwakilishi wa Nigeria, Sola Onadije, ambaye...
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
JK ataja changamoto za rais ajaye
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchini Sweden jijini Helsinki.
Rais mpya ajaye nchini Tanzania anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania itaendelea kubakia kuwa moja kwa kudumisha Umoja wetu na Amani kwani Tanzania inatokana na muungano wa nchi mbili.
Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo jijini Stockholm – Sweden ambapo alikuwa akiongea na watanzania waishio Sweden mara baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku 3,...
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Jaji Warioba: Rais ajaye anafahamika
10 years ago
Habarileo08 Sep
Askofu azungumzia sifa za Rais ajaye
ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amezungumzia sifa za rais ajae na kusema haoni shida nchi ikipata rais kijana.
9 years ago
Habarileo14 Oct
Mkapa ataja sifa za rais ajaye
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka umma wa Watanzania kutambua aina ya rais anayetakiwa kwa kusema, hachaguliwi rais wa klabu ya mpira, bendi ya muziki au chama cha ushirika, bali wanatakiwa kuchagua amiri jeshi mkuu aliye mwadilifu.
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Askofu: Rais ajaye atoke Zanzibar
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanganyika Kusini Magharibi Mathew Mhagama amsema ili kuliunganisha Taifa la Tanzania kuwa moja ni vema Rais ajaye mwakani atoke Zanzibar na si vinginevyo....
10 years ago
Habarileo09 Oct
‘Katiba ipatikane kabla ya Rais ajaye’
MJUMBE wa Bunge Maalumu, Askofu Amos Mhagache amemwomba Rais Jakaya Kikwete aache amekamilisha mchakato wa kupata Katiba mpya.