Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm aelekeza mitutu Msimbazi

hans-pluijmNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amesema haofii lolote kuelekea mechi dhidi ya hasimu wake, Simba Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam huku akitamba yupo tayari kwa vita ya kuwachakaza wekundu hao.

Msimu huu pambano hilo limetabiriwa kuwa litakuwa ni la kukata na shoka kutokana na timu hizo kupata matokeo ya ushindi kwenye mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) walizocheza mpaka sasa.

Yanga iliyo kileleni mwa Ligi Kuu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Katiba ya wananchi haiwezi kupitishwa kwa mitutu ya bunduki

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema Katiba ya Wananchi haiwezi kupitishwa chini ya ulinzi mkali wa vikosi vya ulinzi na usalama vyenye mitutu ya bunduki,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News!! Hali si shwari milima ya Udzungwa, Wanajeshi waingia kazini mitutu yalia msitunu

Udzungwa_mountains-1

*Update zilizotufikia hivi punde inasemakana watu 6 wamejeruhiwa kwa risasi, akiwemo mtu aliyeripotiwa kufariki dunia katika hao 6 katika kijiji cha Nyandeo Msolwa wilayani Kilombero… Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea kadri tunavyozipata.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Habari zilizotufikia katika chumba cha habari kutoka Wilayani Kilombero  katika vijji vya Nyandeo na Kidatu Mkoani, Morogoro ni kuwa  jeshi la Wananchi wameingia katika mji huo na kupiga kambi katika milima ya Udzungwa...

 

11 years ago

TheCitizen

Sweeping changes begin at Msimbazi

Simba SC coach Zdravko Logarusic has embarked on a talent identification that is meant to bring in eleven new players at the club next season in what is viewed as the coach’s intention of reforming the club.

 

10 years ago

Mwananchi

Hali tete Msimbazi

Uongozi wa Klabu ya Simba umeingia katika mgogoro wa kisheria na wachezaji wake 10 baada ya kuvunja mikataba yao na kuwapa barua ili wasajiliwe na timu nyingine msimu ujao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Uzio kikwazo Msimbazi Sekondari’

IMEELEZWA kuwa Shule ya Sekondari Msimbazi inashindwa kutunza mazingira ipasavyo kutokana na kutokuwa na uzio. Hayo yalibainishwa na kiongozi wa mazingira wa shule hiyo, Hitesh Harish, wakati wa hafla ya...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mkwanja wa Okwi watua Msimbazi

MAMBO yamenoga Mtaa wa Msimbazi baada ya juzi kupokea malipo ya kiungo wao mshambuliaji Emmanuel Okwi, aliyeuzwa kwenye klabu ya Sonderjyske FC ya Denmark.

 Simba imepokea kiasi cha Dola 110,000 sawa na shilingi milioni 220, kama mauzo ya mchezaji huyo aliyesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea timu hiyo.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya usajili Simba, Zacharia Hanspope alisema wanashukuru kuona wamepata fedha hizo ambazo hivi sasa wanaweza kumsajili...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyumba 100 zabomolewa Msimbazi

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi jana ilitekeleza shughuli ya ubomoaji nyumba zilizojengwa kwenye Bonde la Mto Msimbazi na kusababisha vilio na huzuni kutoka kwa wakazi na wamiliki wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipa JKU atua Msimbazi

Kipa wa JKU ya visiwani Zanzibar, Abdulrahman Mohamed jana alitarajia kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Simba kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘IGP timua askari Msimbazi’

BAADHI wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, kufanya mabadiliko ya askari katika Kituo cha Polisi Msimbazi, kutokana na kuhusishwa katika tuhuma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani