Pluijm afunguka, atoa tamko
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amesema wachezaji wake wanakabiliwa na tatizo sugu la kutofanya mawasiliano au kupeana ishara wanapokuwa uwanjani, jambo ambalo limekuwa likimuumiza kichwa.
Hali ya kutokuwa na mawasiliano uwanjani ndiyo iliyochangia timu hiyo kufungwa bao la kizembe la kufutia machozi kwa JKT Ruvu, wakati timu hizo zilipochuana vikali katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania14 May
Pluijm atoa onyo Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, Hans Van Der Pluijm, amewaonya viongozi wa klabu hiyo na kuwataka wahakikishe wanafanya usajili utakaoiletea timu mafanikio na siyo ubabaishaji.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema kipindi cha usajili kimekuwa na matukio ya ajabu ambayo hupelekea mipango ya mwalimu kuvurugika kutokana na viongozi kufanya maamuzi yao binafsi.
Pluijm ambaye anatarajia kuondoka nchini Jumamosi kuelekea...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Pluijm atoa angalizo kwa wachezaji
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans Van der Pluijm, amesema kuwa hafikirii kama kikosi chake kitatoka kwenye nafasi tatu za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hivyo ametoa angalizo kwa kila mchezaji kuhakikisha anaendana na kasi yake.
Timu hiyo juzi ilifanikiwa kuongoza ligi, baada ya kushinda mabao 4-0 dhidi ya Stand United na kufanikiwa kufikisha jumla ya pointi 30.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema tayari ameshapiga hesabu za mbali...
11 years ago
GPL
Pluijm atoa siri ya Okwi kuondoka Yanga
11 years ago
Dewji Blog16 Oct
CAG atoa tamko sakata la ESCROW
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Ludovick Utouh.
Na Mwandishi wetu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inapenda kuujulisha Umma kuwa Ukaguzi Maalum wa akaunti ya Tegeta Escrow ambao unafahamika kama Ukaguzi wa IPTL unaendelea na unaongozwa na Hadidu za Rejea (ToR) zilizotolewa na kisha kuridhiwa na Ofisi ya Bunge na Wizara ya Nishati na Madini.
Ukaguzi wa akaunti ya Tegeta Escrow uliombwa na Katibu wa Bunge na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na...
10 years ago
GPLVURUGU ZA AFRIKA KUSINI, WAZIRI MEMBE ATOA TAMKO
10 years ago
GPLMTANZANIA ALIYEPATA TUZO YA MALKIA ELIZABETH II ATOA TAMKO
10 years ago
GPLMKURUGENZI SUMATRA ATOA TAMKO KUHUSU NAULI ZA MABASI NA DARADALA
11 years ago
CloudsFM21 Oct
LUNDENGA ATOA TAMKO KUHUSU UMRI SAHIHI WA MISS TANZANIA
Waandaji wa shindano la Miss Tanzania 2014 Lino International ambao wakishirikiana na Redds wamekutana leo jijini Dar es salaam na waandishi wa habari ili kuzungumza nao kuhusu skendo ya umri halisi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.
Mkurugenzi wa Lino International Agency Hashim lundenga amesema tuhuma za kuwa miss Tanzania anamtoto sio kweli na kwamba hairuhusiwi kwa mshindani wa Miss Tanzania kuwa na Mtoto. Pia Hashim ameonyesha vyeti halisi vya kuzaliwa vya Sitti abavyo vimeonyesha...
10 years ago
GPLCHIKAWE ATOA TAMKO KUHUSU KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU