Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi brazil yamkamata muuaji

Polisi nchini Brazili wamemkamata mwanamume mmoja aliyekiri kwa kinywa chake kuua watu wapatao thelathini na tisa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wamsaka muuaji wa Charleston

Polisi nchini Marekani wanamtafuta mwanamume mzungu aliyewaua watu tisa waliokuwa wakisali katika kanisa moja na watu weusi katika mji wa Charlston South Carolina.

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi aliyeuliwa kikatili Mkoani Dodoma aagwa leo, Muuaji naye auliwa na wananchi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu akiongoza leo waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.Wasifu wa marehemu ukisomwa Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari huyo shujaaNa Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema...

 

9 years ago

BBCSwahili

Nigeria yamkamata afisa aliyeiba pesa

Wakuu nchini Nigeria wamemkamata afisa wa zamani anayeshtumiwa kuiba dola bilioni mbili zilizonuiwa kupambana na Boko Haram

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wapambana na waandamanaji Brazil

Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya Rio de Janeiro.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi watibua maandamano Brazil

Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi kuvunja maandamano Brazil.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi waongezwa mishahara Brazil

Brazil itawapa nyongeza ya asilimia 15.8 ya mishahara polisi wake ili wasigome wakati wa ufunguzi wa kombe la dunia

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi arekodiwa akiwadhulumu raia Brazil

Polisi mmoja huko Brazil amerekodiwa akiwadhulumu watuhumiwa wa wizi na video hiyo kupeperushwa moja kwa moja na wanaharakai

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wa Brazil hawana shida na mtu

Polisi wa Brazil hawana shida na mtu. Karibu kila kona unayopita kuna polisi. Lakini hawana shida na mtu mpaka ulete tatizo. Binafsi nawaona vivutio sana. Wanakufanya ujisikie uko salama kwa saa 24.

 

9 years ago

BBCSwahili

Muuaji ajiua Marekani

Polisi nchini Marekani imesema muuaji wa Waandishi wawili wa habari nchini humo, amefariki dunia baada ya kujijeruhi wa risasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani