Polisi Dar lawamani kuachia mtuhumiwa wa kubaka mlemavu
Mratibu wa Kituo cha Usuluhishi cha Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa), Gladness MunuoJeshi la Polisi Mkoa wa Ilala limelalamikiwa kwa madai ya kumkingia kifua mtuhumiwa wa ubakaji wa mtoto wenye ulemavu wa kusikia (15), lakini katika hali ya kushangaza, mtuhumiwa huyo mkazi wa Dar es Salaam (jina tunalihifadhi) ameachiwa huru kwa madai kuwa mtoto huyo ni mzoefu wa kufanyiwa vitendo hivyo.
Mtuhumiwa huyo ambaye anadaiwa kufanya kitendo hicho mwishoni mwa mwezi uliopita katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM31 Dec
10 years ago
Habarileo07 Apr
Sita washikiliwa na Polisi kwa kubaka
WATU sita wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 40.
10 years ago
Vijimambo09 Jan
Askari polisi mbaroni akidaiwa kubaka mtoto
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/justin-09Dec2015.jpg)
Askari polisi wa kituo kikuu cha Shinyanga aliyefahamika kwa jina moja la Alex, amewekwa korokoroni akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (jina tunalo, 13), mkazi wa kata ya Ngokolo mjini hapa na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri.
Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini ukweli kamili, akigoma kutaja...
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Polisi jela maisha kwa kubaka, kulawiti mtoto
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu askari polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, G 9762 PC Daniel (24) kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na makosa ya kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka 13.
Mbali na kifungo hicho, mtuhumiwa huyo ameamriwa kulipa fidia ya Sh milioni 2 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Askari polisi Kawe lawamani
BAADHI ya askari polisi wa Kituo cha Kawe, Kinondo, Dar es Salaam wameingia kwenye kashfa ya kumbambikia kesi ya jinai Mkurugenzi Mtendaji wa Kahangala Youth Foundation, Pascal Kahangala. Jeshi hilo...
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
Polisi wa Kenya lawamani baada ya shambulizi la Westgate
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/gaidi.jpg)
MTUHUMIWA UGAIDI ANASWA NA POLISI!
10 years ago
Habarileo14 Dec
Polisi waua mtuhumiwa Arusha
MTUHUMIWA namba mbili wa ujambazi wa kuua na kupora wanawake jijini hapa kwa kutumia pikipiki, Wenceslaus Matei (32) amekufa kufuatia majeraha aliyoyapata wakati akijibizana risasi na Polisi.
10 years ago
StarTV30 Dec
Mtuhumiwa ajisalimisha Polisi Geita.
Na Salma Mrisho,
Geita.
Waendesha Pikipiki mjini Geita wameizingira ofisi ya Polisi Mkoa baada ya mtu wanayemtuhumu kuhusika kwenye matukio ya wizi na mauaji ya waendesha bodaboda kukimbilia polisi kujisalimisha.
Waendesha bodaboda hao ambao wamekaa kwa muda nje ya ofisi hiyo wamefikia maamuzi ya kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome nyumba yake wakidai mtuhumiwa huyo amekuwa akikamatwa na kuachiwa.
Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi waendesha wakija mmojammoja nje ya ofisi ya...