Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi mashakani kwa kumpuuza mwathiriwa

Polisi watatu nchini Afrika Kusini, wameachishwa kazi kwa muda kwa tuhuma za kukataa kumuokoa mshukiwa wa wizi aliyekuwa anashambuliwa na umma.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Polisi mashakani kwa kucheza densi India

Mgogoro umeibuka nchini India baada ya polisi mwanamke nchini humo kucheza densi ukumbini na muigizaji maarufu Shah Rukh Khan

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM imeangamia kwa kumpuuza Nyerere na Warioba 

NIMEANDIKA mara nyingi kuelekeza watu kuwa tunavyoenda siko, wengine wametukejeli, wengine wametuona kuwa maadui kwa kuwa hatuandiki yanayowapendeza. Maneno ya Jaji Joseph Warioba aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sketi yamtia mashakani polisi Kenya

Afisaa mmoja wa polisi mwanamke amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha mashakani kwa kuwabagua wachezaji

Kocha wa klabu moja ya kandanda nchini Ufaransa anakabiliwa na shutuma kali kufuatia matamshi yake ya ubaguzi

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri mashakani kwa unyanyasaji wa kijinsia

Shirika la haki za binaadamu lenye makao yake mjini Paris linasema kuwa vikosi vya usalama nchini Misri vinatumia unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wale wanaokomatwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwathiriwa wa ubakaji kufidiwa Zimbabwe

Mahakama ya juu zaidi nchini Zimbabwe imeagiza serikali kumlipa fidia mwathiriwa wa ubakaji aliyekataliwa kuavya mimba yake

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwathiriwa wa Westgate kuhusu shambulio Paris

Dorcas Mumbua ni mmoja wa walionusurika shambulio la kigaidi katika jumba la kibiashara la Westgate jijini Nairobi Septemba 21, 2013. Alichukuliaje mashambulio mjini Paris?

 

11 years ago

BBCSwahili

Chunga usiwe mwathiriwa wa mapenzi mitandaoni

Polisi nchini Ufilipino, wamewakamata washukiwa wa uhalifu katika mitandao ambao ni sehemu ya kikundi cha watu wanaowahadaa watu kwa njia ya mapenzi.

 

10 years ago

Vijimambo

KUKAMATWA KWA PROFESA LIPUMBA: DEMOKRASIA IKO MASHAKANI

Ndugu zangu, hivi punde nimeongea na Maharagande Mbarala na Bonifasia Mapunda
wamenijulisha kuwa, Profesa Lipumba na Manaibu Wakurugenzi wawili wa Chama Cha Wananchi CUF (Shaweji Mketo na Abdul Kambaya), pamoja na walinzi wa Profesa Lipumba, wamekamatwa na polisi. Pia, nimeongea na mhe. Joram Bashange, Mkurugenzi wa Fedha wa CUF, tayari yuko Central Police lakini hajaruhusiwa kuwaona viongozi. Mawakili wa CUF wanaelekea polisi pia.

KUMBUKIZI YA MWAKA 2001
Ukamataji huo uliotumia nguvu kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani