Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wampiga vibaya Mwandishi wa Habari Zanzibar

Mwandishi wa Habari kwa jina Omar Ali mzaliwa wa Mkoani Kangani kisiwani Pemba, jana mida ya asubuhi ameshambuliwa na kupigwa vibaya sana na jeshi la Polisi Zanzibar na kutupwa maeneo ya Maisara mjini Zanzibar.

Mwandishi huyu alikuwa anachukua habari kutoka kituo cha uandikishaji dafatari la kudumu maeneo ya Migombani Zanzibar na polisi hao inasadikiwa walisema ni mwandishi wa Chama cha Wananchi CUF na ndipo walipomshika na kuanza kumpiga vibaya sana na kumvunja miguu kama anavyoonekana...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mwandishi wa Habari Zanzibar, Ali Saleh Achukua Fomu leo kugombea Ubunge Mji Mkongwe Zanzibar

Mwandishi mkongwe wa habari Zanzibar, Ali Saleh (Alberto) akiwa na wapambe wake waliomshindikiza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mji Mkongwe katika uchaguzi wa mwaka huu 2015 Mwandishi mkongwe wa habari, Ally Saleh akionesha Fomu yake aliyokabidhiwa leo kwenye Ofisi ya Jimbo MkunaziniAkionesha kadi yake ya uanachama wa CUFHapa akiondoka Afisi za Jimbo baada ya kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mkunazini katika Uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu kama atapitishwa na...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WA ZANZIBAR WASHIRIKI MAZIKO YA MWANDISHI WA HABARI MUANDAMIZI WA TBC MARIN HASSAN MARIN



WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Ibada ya kuusalia Mwili wa Marehemu Marin Hassan Marin, Mwandishi wa Habari Muandamiziu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) sala na dua hiyo imefanyika katiuka Msikiti wa KMKM Kibweni Wilaya ya Magharibi”A” Unguja leo 2/4./2020,saa nne na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Matinyi akisoma...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO WA ZANZIBAR AKUTANA NA WANAFUNZI NA WALIMU WACHUO CHA UANDISHI WA HABARI ZANZIBAR

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar (ZJMMC) Rashid Omar akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katika mkutano na Wanafunzi wa chuo hicho ngazi ya Diploma na Sataficate katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar. Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk hayupo pichani wakati akitoahotuba kwa wanafunzi haokatika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandishi wa habari afariki

Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mtandao wa Mwanahalisi Online, Edson Kamukara amefariki dunia jana jioni baada ya kuungua moto, nyumbani kwake Mabibo, Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi habari ashtakiwa Angola

Mwandishi habari mashuhuri amefikishwa mahakamani nchini Angola kwa madai ya kuwaharibia watu mashuhuri majina.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa Habari auawa Syria

Mwandishi habari mwenye asili ya Marekani auawa nchini Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Pakistan

Watu wenye silaha wamemuua kwa kumpiga risasi mwandish maarufu wa habari katika mji wa Karachi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Somalia

Mwandishi mmoja wa habari wa kike ameaga dunia baada ya bomu kulipuka chini ya gari lake katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani