Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wazima ndoa ya watoto Katavi

Jeshi la Polisi mkoani Katavi limefanikiwa kuzuia kufungwa kwa ndoa iliyohusisha watoto, muolewaji akiwa na umri wa miaka 14 na muoaji ana umri wa miaka 17. Kwa mujibu wa taarifa, bibi harusi ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mwamkulu iliyopo kijiji cha Senta John Mwamkulu, Wilayani Mpanda, mkoani Katavi, na bwana harusi aliacha shule alipokuwa darasa la tatu. Mwanafunzi huyo (14), (jina linahifadhiwa) siku ya harusi alikuwa afanye mtihani wa wilaya, lakini alikutwa...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATU WAZIMA WASAIDIAPO KUWAVUSHA WATOTO BARABARANI

Watoto (kulia) wakijiandaa kuvuka Barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam. Msamaria mwema akiwavusha barabarani  wanafunzi. KUONGEZEKA kwa magari mijini kumekuwa ni tatizo kwa watoto, hususani wanafunzi, katika kuvuka barabara mbalimbali, ambapo watu wazima wana wajibu wa kusaidia kuwaongoza na kuwavusha ili kuepusha…

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe

WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.

 

11 years ago

Mwananchi

MALALAMIKO: Polisi wazima maandamano ya wanafunzi Udom

>Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, lililazimika kupiga kambi kwa muda wa saa sita kwenye Jengo la Ofisi ya Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili kulinda usalama baada ya tetesi za kuwapo maandamano ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom)kwenye ofisi hizo.

 

10 years ago

GPL

POLISI DAR WAZIMA VURUGU KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kupiga mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa ulikuwa ukifanyika. Vurugu hizo, zimeibuliwa na kambi ya upinzani ambayo ilikuwa ikilalamikia kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyeapishwa hakuwa ameshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka...

 

5 years ago

CCM Blog

KATAVI: UBAKAJI WATOTO WA CHINI YA MWAKA HADI MIAKA MINNE UNAHUSISHWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA

  Matukio ya vitendo vya ubakaji kwa watoto wadogo wenye umri wa chini ya mwaka mmoja hadi miaka nane yameendelea kuripotiwa mkoani katavi ambapo idadi kubwa ya matukio hayo yanaelezwa kusababishwa na imani za kishirikina
Akizungumzia matukio hayo Afande Clara Ndamukyana wa kitengo cha Dawati la Jinsia mkoa wa Katavi amesema hali hiyo inasababishwa na waganga wa jadi wanaowadanganya wateja wao

“Baadhi ya watuhumiwa waliokamatwa wanasema waganga waliwaeleza kuwa wakipata mabinti ambao...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu atembelea mkoa wa Katavi

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu, akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Col mstaafu Issa Njiku,  kutoka kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, SACP Jacob Mwaruanda na kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi SACP Dhahir Kidavashari, akiwa mkoani humo, jana katika ziara ya kikazi Mkuu wa Jeshi la Polisi  (IGP) Ernest Mangu, (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa katavi,(hawapo pichani) kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt...

 

11 years ago

Michuzi

polisi mkoani katavi wakamata mtu akiwa na meno ya tembo na gobole

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katiavi Afande Dhahiri Kidavashari akionesha meno ya tembo vipande 2 yenye thamani ya shilingi 22  aliyokamatwa nayo mtuhumiwa Bathoromeo Mtongwa Machi 8, 2014 katika kijiji cha Kilida, tarafa ya Mamba wilaya ya Mlele ambapo pia mtuhumiwa huyo alikamatwa na gobole 1 na risasi 14. Mkaazi wa kijiji cha Kilida tarafa ya mamba wilaya ya mlele Bathoromeo Mtongwa (58) akiwa katika kituo cha polisi cha mkoa wa Katavi baada ya kukamatwa na meno mawili ya tembo yenye...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kampeini kukomesha ndoa za watoto Afrika

Umoja wa Afrika umeanzisha kampeini kabambe barani Afrika kusitisha ndoa za watoto wadogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani