Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Posho ya wabunge Mfutakamba, Mabumba mko wapi?

NIANZE kwa kukushukuru wewe msomaji wangu kwa namna unavyonitia moyo katika makala zangu hizi. Ninajisikia faraja ninapopata mrejesho kutoka kwako. Nafurahi zaidi ninapopata mrejesho katika maeneo ya mbali kabisa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa dini mko wapi?

VIONGOZI wa dini mara zote wamekuwa mstari wa mbele kukemea chokochoko zote zenye viashiria vya kuvunja amani na mshikamano katika taifa letu. Tumewasikia viongozi hao kila mara wakiwakemea waumini wao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tahadhari kabla ya hatari: Manispaa ya Singida mko wapi?

DSC04913

Jengo linalotumiwa na wafanyabiashara wa Tumbaku soko kuu mjini Singida,likiwa limechaa na kukosa sifa ya kutumiwa kwa hofu ya kuhatarisha maisha ya wafanyabiashara hao pamoja na wateja wao. Pamoja na kuchakaa kwa kiwango kikubwa, lakini manispaa ya Singida inajipatia ushuru kutoka kwa wafanyabiashara wa Tumbaku ambao wamedai wameililia manispaa hiyo kuliboresha,lakini juhudi zao zimeshindwa kuzaa matunda.(Picha naNathaniel Limu).

DSC04917

 

9 years ago

Bongo Movies

Mko Wapi Waandishi wa ‘Script’, Nitanunua kwa Bei Yoyote-JB

Tasnia yetu ya filam inakabiliwa na changa moto mbalibali lakini kwangu mimi changa moto kubwa kuliko zote inayo ninyima usingizi ni waandishi wa miswaada(script).

Hili kwangu ndio tatizo kubwa kuliko yote, mfano natarajia kufanya filam yangu na King Majuto, tangu mwaka jana mwezi wa 8 mpaka leo kati ya script 10 nilizoletewa hakuna inayo faa.

Mko wapi waandishi? niko tayari kununua kwa bei yoyote.Lakini ukiniletea kituko tarajia ngumi kama malipo ya usumbufu, ndiyo maana tangu nitoe mzee...

 

10 years ago

Dewji Blog

SUMATRA mko wapi? Abiria hawa wameteseka zaidi ya masaa 6 bila msaada

Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6  abiria ambao walikuwa wanaelekea Mwanza na basi la Princes shabaha  wamezidi teseka  huku  hawajui hatima yao ya safari

 Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX  Wamekwama maeneo ya Kibamba jiji Dar es Salaam huku kina mama na watoto wakizidi teseka,

Mama huyu akiteseka na mtoto mdogo.

Abiria wakiwa nje ya basi

Baadhi ya abiria wakijadiliana nini cha kufanya ili wapate usafiri mwingine.

IMG-20140816-WA0014

Hizi ndio namba za basi hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wajutia posho

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanajutia posho wanayoendelea kupata wakati bunge likivurugika mara kwa mara na kusababisha kuahirishwa, hivyo kuzua wasiwasi wa kutotekelezwa malengo yaliyowapeleka. Makundi yenye uwakilishi ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, katika kujiengua na shutuma yamenyooshea wanasiasa vidole na kusema wanavuruga mwenendo wa Bunge hilo kwa maslahi ya vyama vyao.

 

11 years ago

Habarileo

Posho yagawa wabunge

WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likiunda kamati maalumu ya kufuatilia suala la nyongeza ya posho za wajumbe, umetokea mgawanyiko miongoni mwa wabunge hao. Kamati iliyoundwa itafuatilia na kisha kuishauri Serikali iwaongeze posho wajumbe hao huku baadhi yao, wakipinga na kutaka wananchi wasimame kidete kuipinga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge waota posho kupanda

JINAMIZI la kutaka posho nono kwa watu wanapopewa majukumu ya kufanya kazi mbalimbali za umma linazidi kuwaandama wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambapo juzi walitumiwa ujumbe kuwa zimeongezeka na...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga walia posho za Wabunge

Baadhi ya wakazi wa jijini Tanga, wamelalamikia kiwango kikubwa cha posho wanacholipwa wajumbe wa Baraza la Bunge la Katiba na kusema kuwa kiwango hicho ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa amshupalia JK posho za wabunge

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema serikali ya Rais Jakaya Kikwete imefanya kufuru kwa kupanga kutumia zaidi ya sh bilioni 59 kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani