Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA JAY : FANANI AMEACHA KUVUTA MADAWA, HBC INARUDI

Lile kundi la hiphop HBC lilikuwa linaundwa na Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Profesa Jay, Big Wille pamoja na Fanani, ambao walikuwa pamoja kuanzia miaka ya tisini hadi miaka ya 2000 mwanzoni walipotea kwenye game baada ya kuachia album ya Funga Kazi iliyokuWa na ngoma kadhaa kama Chemsha Bongo na Niamini.Kundi hilo linatarajiwa kurudi kwenye ramani ya Bongo Fleva chini ya studio za Mwanalizombe zinazomilikiwa na Profesa Jay.Prof.J akazungumzia hali ya Fanani ambaye alikuwa ameathirika na...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PROFESA JAY AKIFANYA YAKE STEJINI

Mkongwe wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club.…

 

10 years ago

GPL

PROFESA JAY APASUA ANGA MIKUMI

Stori: Sifael Paul
Katika harakati za kulinyakua Jimbo la Mikumi wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro kwa tiketi ya chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule almaarufu Profesa Jay (pichani) ameendelea kupasua anga kwenye jimbo hilo akifungua matawi mapya na kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Profesa Jay akiwa na Joseph...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Profesa Jay alia wasanii wanavyoibiwa

MKALI wa hip hop nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, ameonyesha kuendelea kuumizwa na wizi wa kazi za wasanii, huku akidai mamlaka husika zimeshindwa kutatua tatizo hilo. Profesa Jay kupitia ukurasa...

 

11 years ago

GPL

PROFESA JAY NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Profesa Jay akiwa katika pozi ndani ya Global TV tayari kwa mahojiano usiku huu. Profesa Jay akiwa na mtangazaji wa Global TV Online, Luqman Maloto (kulia). MKALI wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' muda huu yupo ndani ya Global TV tayari kwa mahojiano ya mambo mbalimbali ya muziki, maisha, siasa na mengineyo mengi. Mohojiano hayo… ...

 

9 years ago

Habarileo

Profesa Jay amfagilia Rais Magufuli

MBUNGE wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’, amempongeza Rais John Magufuli, kwa kusikia kilio cha wasanii na kuunda Wizara ya Habari iliyozingatia masuala ya Utamaduni, Wasanii na Michezo.

 

9 years ago

Mtanzania

PROFESA JAY aipeleka ‘Mwanalizombe’ Mikumi

JAYNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, amesema ana mpango wa kuihamishia studio ya Mwanalizombe kwenye jimbo lake ili aweze kutekeleza ahadi ya kuinua sanaa. Akizungumza na MTANZANIA, Profesa Jay alisema kuwa moja ya ahadi alizowaahidi

wakazi wa Mikumi kwenye kampeni zake ni kuibua vipaji vipya ndiyo maana ameamua kuihamishia studio hiyo huko ili aweze kutekeleza ahadi hiyo.

“Mikumi kuna vipaji vingi vya muziki lakini hakuna aliyeweza kuviibua...

 

9 years ago

BBCSwahili

Profesa Jay ashinda kiti cha ubunge TZ

Msanii wa Bongo Joseph Haule maarufu kwa jina 'Profesa Jay' ndiye msanii wa hivi karibuni kuwahi kushinda kiti cha ubunge nchini Tanzania.

 

11 years ago

CloudsFM

PROFESA JAY AFUNGUKA KUGOMBEA UBUNGE 2015

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Profesa Jay wa Mitulinga, kama unakumbuka vizuri tarehe 21 mwezi wa tano mwaka jana 2013 alikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama siasa cha CHADEMA na aliyemkabidhi kadi hiyo ni mbunge ambaye pia ni msanii wa Hip Hop Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.Baada ya hapo hisia za Watanzania zilisafiri mpaka mjini Songea na kutoa jibu kwamba mwaka 2015 msanii huyo atagombea ubunge katika moja kati ya majimbo ya mkoani Ruvuma. Clouds fm imepiga stori na Profesa Jay huyu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Profesa Jay, Sugu wafunika uzinduzi CHADEMA Mtandao

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, juzi uusiku alikonga nyoyo za waalikwa na Wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika uzinduzi wa ‘CHADEMA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani