Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Professor J ajishirikisha mwenyewe kwenye ‘Tatu Chafu’ kwa majina ya J Hussle na Nigga J

Rapper mkongwe Professor J anatarajia kuachia single yake mpya iitwayo ‘Tatu Chafu’ iliyotayarishwa kwenye studio yake ya Mwanalizombe chini ya producer Villy. Akiongea na Bongo5 leo, Professor amesema kwenye wimbo amewashirikisha J Hussle na Nigga J ambao hata huvyo ni yeye mwenyewe. “Watu walikuwa wana kiu sana na mimi siku nyingi nilikuwa sijarelease ngoma kwahiyo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

New Music: Professor Jay f/ J Hustle & Nigga J – Tatu Chafu

Profesa Jay ameachia ngoma yake mpya, ‘Tatu Chafu’ iliyofanyika kwenye studio yake, Mwanalizombe Records chini ya producer, Villy. Kwenye ngoma hii, Professor J amewashirikisha J Hustle (ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira na Nigga J aliyekuwa Hard Blasters Crew (HBC) na Professor J ndio yule ‘The Heavy Weight MC’.

 

10 years ago

Bongo5

New Music Videos: Professor Jay – Tatu Chafu & Kipi Sijasikia

Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video zake mbili kwa mpigo,’Tatu Chafu’ aliyofanya na director Hefemi pamoja na Kipi Sijasikia iliyoongozwa na Adam Juma.

 

10 years ago

Bongo5

Professor Jay: video za ‘Tatu Chafu’ & ‘Kipi Sijasikia’ zimewagawanya sana watu

Professor Jay amesema video za nyimbo zake mbili ‘Kipi Sijasikia’ na ‘Tatu Chafu’ alizoziachia mwezi uliopita zimekuwa na ushindani mkubwa, kiasi cha kuwagawa mashabiki ambao wapo waliopenda zaidi ‘Tatu Chafu’ na wengine ‘Kipi Sijasikia’. “Kitu kikubwa ambacho kimenionesha ni kwamba hizi video zinachuana sana yaani zimewaganwanya watu” Professor Jay ameiambia Bongo 5. “Hizi video zimewagawanya […]

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Tanzania Daima

Pro. Jay kuja na ‘Tatu Chafu’

BAADA ya kufanya vizuri na kibao chake cha ‘Kipi sijasikia’, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesar Jay’, anatarajiwa kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la...

 

11 years ago

Bongo5

Wewe ni shabiki wa professor Jay? Atoa mwaliko kwa anayetaka kutokea kwenye video ya ‘Kipi Sijasikia’ Jumamosi hii (July 12)

Rapper mkongwe Professor Jay anatarajia kushoot video ya single yake ya sasa ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz weekend hii. Kupitia Instagram Jay ametoa mwaliko kwa shabiki wake yeyote atakayependa kuonekana kwenye video hiyo itakayoanza kurekodiwa Jumamosi hii (July 12). “KINGS and QUEENS wote Mnakaribishwa kwenye Video shooting ya KIPI SIJASIKIA, MUHIMU; Vigezo na Masharti Kuzingatiwa!!!” […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Uchaguzi NEC yakabidhi majina ya waliojiandikisha zaidi ya mara moja kwenye BVR kwa Jeshi la Polisi

1.

Mkuu wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Sisti Cariah (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari utaratibu wa uhifadhi wa fomu za taarifa za wananchi waliojiandisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, jana Alhamisi (Agosti 27, 2015)Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey.

2.

Afisa TEHAMA katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyelo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu...

 

9 years ago

GPL

BASATA YAONYA LUGHA CHAFU NA MAADILI KWENYE KAMPENI

Katibu Mkuu Mtendaji Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), Geofrey Ngereza. BASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa. Lugha...

 

10 years ago

Bongo5

Professor Jay, Chege na Temba kutumbuiza kwenye tamasha la ‘Maisha Murua’ la Vodacom

Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam. Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi. Tamasha hili […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani