Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete akiri upungufu wa madaktari nchini, aahidi kutatua

Rais Jakaya Kikwete, amesema tatizo la upungufu wa madaktari nchini ni kubwa lakini akasema Serikali imejipanga na kuweka mikakati kabambe ya kulitatua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani kikwete aahidi kutatua tatizo la umeme, maji Kiwangwa,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa ujenzi kutoka Kambi ya Mzinga ya JWTZ, Aloyce Mayunga (kushoto) alipokwenda kukagua ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Kiwangwa wakati wa ziara ya kikazi ya katika Kata ya Kiwangwa, wilayani Chalinze, Pwani jana Aliwataka wajenzi hao kujenga maabara hayo kwa kuzingatia viwango. Katikati ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bagamoyo, Saleh Mpimbwi.

02

 Ridhiwani Kikwete...

 

9 years ago

Mwananchi

Upungufu uliojitokeza Serikali ya Rais Kikwete

Utawala wa miaka 10 wa Jakaya Kikwete ulimalizika Novemba 5, 2015 baada ya mrithi wake Dk John Magufuli kuapishwa. Dk Magufuli anasifiwa, Kikwete analaumiwa.

 

5 years ago

Bongo5

Rais Magufuli aamuru madaktari 258 walioomba kufanya kazi nchini Kenya waajiriwe nchini mara 1

Mnamo tarehe 18 Machi 2017 Ujumbe wa Serikali ya Kenya ukiongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Cleopa Mailu uliwasili nchini ambapo ulikutana na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dhumuni la mkutano huo ulikua kuomba kuajiri, kwa Mkataba, Madaktari wa Tanzania mia tano (500), ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya.

Mheshimiwa Rais JPM, alikubali ombi hilo.

Mnamo tarehe 18 Machi, 2017, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aahidi Serikali kuajiri mahakimu 600

Rais Jakaya Kikwete amesema serikali inakusudia kuboresha utendaji wa mahakama nchini kwa kuongeza ajira na kuendelea kufanyia mabadiliko sheria ambazo zimepitwa na wakati.

 

9 years ago

StarTV

Rais Kikwete aahidi kumalizika kwa mgao wa umeme

Rais Jakaya Kikwete amezindua miundombinu ya kuchakata na kusafirisha gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es Salaam, huku akilionya shirika la umeme nchini TANESCO, kuzingatia sheria za nchi wakati wa utekelezaji wa maagizo yake ya kuhakikisha kupatikana umeme wa dharura katika kipindi hiki ambacho uzalishaji wa nishati hiyo nchini umeshuka kwa kiwango kikubwa.

Shirika la TANESCO lipo kwenye mazungumzo na watu ambao Rais Kikwete amesema kulingana na taarifa alizopata toka TANESCO, wanaojadili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete awapongeza Madaktari bingwa wa Moyo kwa upasuaji

mu1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kupiga picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Freddy Maro).

muh2

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani aahidi kutatua kero ya maji

MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kushughulikia kero ya maji kwa baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Aahidi kutatua kero huduma za jamii

Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa ameahidi kutatua kero ya zahanati katika Kijiji cha Mfukulembe endapo atapata nafasi ya kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo kama mbunge wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani