Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete asamehe wafungwa 1,475

Rais Jakaya KikweteKATIKA kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru, Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 1,475.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Rais Kikwete asamehe wafungwa 4000

Pg 2Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,129 ambako 400 wataachiwa huru na wengine 3,729 watapunguziwa vifungo vyao.
Alitoa msamaha huo katika kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwa kutumia madaraka yake aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na kusainiwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, wafungwa waliopunguziwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete asamehe wafungwa 4,969

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,969 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru.

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete asamehe wafungwa 4,160

RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160 katika kuaga na kukabidhi madaraka ya Serikali kwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK asamehe wafungwa 3,967

RAIS Jakaya Kikwete, ametoa msamaha kwa wafungwa 3,967. Ametoa msamaha huo kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya ibara ya 45(1) ya Katiba ya Muungano ya sasa. Katika taarifa iliyotolewa jijini...

 

9 years ago

StarTV

Dk. Kikwete atoa msamaha kwa wafungwa 4,160

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyemaliza muda wake Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160, ambapo kati yao wafungwa 867 wataachiliwa huru na wengine 3,293 watapunguziwa vifungo vyao na kubaki gerezani wakitumikia sehemu ya kifugo kilichobaki.

Rais huyo wa serikali ya awamu ya nne, ametoa msamaha huo katika kuaga na kukabidhi madaraka ya serikali yake kwa serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Rais Dr. John Pombe Magufuli.

Kabla ya kukabidhi madaraka, Rais...

 

10 years ago

Habarileo

2,475 wapata mikopo elimu ya juu Zanzibar

WANAFUNZI 2,475 wa Zanzibar wanaosoma katika vyuo vya elimu ya juu nchini, wamepata mikopo ya kuendelea na masomo katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kwa mwaka wa fedha 2014-2015.

 

10 years ago

Habarileo

Wafungwa wanawake Kingulwira waomba msamaha kwa Kikwete

PinguWAFUNGWA katika Gereza Kuu la Wanawake la Kingulwira, Morogoro wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwapa msamaha katika gereza hilo kwa sababu wamejirekebisha.

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani