Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais mpya wa Tanzania aapishwa

John Pombe Magufuli sasa ndiye rais mpya wa taifa la Tanzania baada kuapishwa mbele ya umati mkubwa wa watu waliojaa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wakiwemo viongozi wa mataifa mbalimbali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Rais mpya wa Zambia aapishwa

Edgar Lungu aapishwa mjini Lusaka kuwa rais mpya wa Zambia baada ya kushinda kwa kura chache

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghani aapishwa rais mpya Afghanistan

Ashraf Ghani ameapishwa kuwa rais mpya wa Afghanistan baada ya miezi sita ya mvutano na mpinzani wake

 

10 years ago

StarTV

Ashraf Ghani aapishwa kuwa rais mpya Afghanistan

Ashraf Ghani ameapishwa kuwa rais mpya wa Afghanistan, akichukua nafasi ya Hamid Karzai katika sherehe zilizofanyika ikulu ya rais mjini Kabul.

 

 
Kuapishwa kwa Bwana Ghani kunakuja baada ya miezi sita, huku kukiwa na mvutano mkubwa kuhusu kulalamikia udanganyifu katika kupiga na kuhesabu kura.

 

 
Kwa mujibu wa mkataba uliosimamiwa na Marekani Bwana Ghani atashirikiana madaraka na mshindi wa pili katika uchaguzi wa urais Bwana Abdullah Abdullah ambaye atakuwa afisa mtendaji mkuu.

 

 
Kundi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Evariste Ndayishimiye: Aapishwa kuwa rais mpya wa Burundi

Maelfu ya raia wa Burundi wamefurika katika uwanja huo kushuhudia kuapishwa kwa rais huyo kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa taifa hilo Pierre Nkurunziza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais John Magufuli aapishwa rasmi Tanzania

John Pombe Magufuli sasa ndiye rais mpya wa taifa la Tanzania baada ya kuapishwa rasmi kufuatia ushindi wake wa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu uliopita.

 

9 years ago

GPL

DK. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa katika sherehe zinazoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es…

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA LEO JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride maalum la Jeshi la Ulinzi lenye Umbo la Alfa, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa Serikali mpya ya awamu ya tano, katika Sherehe za kuapishwa kwake, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam leo. Sherehe hizo zimehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh....

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Dkt John Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Tanzania, aahidi kuwatumikia wananchi ‘nina deni kubwa’

ma35

Dokta John Pombe Magufuli, Alhamis hii ameapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyohudhuriwa na wananchi pamoja na viongozi wa nchi mbalimbali barani Afrika.

ma35
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akiapishwa Alhamis hii

Ikiwa ni siku iliyotangazwa na Rais aliyeondoka madarakani Jakaya Kikwete kuwa ya mapumziko, wananchi wengi walishuhudia kuapishwa kwa Magufuli kupitia runinga zao. Wengine walisikiliza matangazo...

 

10 years ago

Michuzi

AG MPYA ZANZIBAR AAPISHWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani