RAIS OBAMA AKIWA KAZINI..
![](http://2.bp.blogspot.com/-lMNJyzgvrGo/VYqNeeVC4jI/AAAAAAAAAyg/m0uqSaXh0e4/s72-c/obama1.jpg)
Rais wa Marekani Mh. Barack Obama akiwa ndani ya Air Force One huku akiendelea na kazi zake za kila siku.
Rais Obama akiongea na washauri wake ndani ya Air Force One.
Rais wa Ufaransa Mh. Francois Hollande akipata chakula cha mchana na Rais Obama ndani ya Air Force One.
Rais Barack Obama akiwa ndani ya helikopta yake maarufu kama Marine One.
Aliyekua Rais wa Urusi ambae sasa ni waziri mkuu Mh. Dmitry Medvedev (kulia), wakibadilishana mawazo na Rais Obama ndani ya gari la Mh. Obama maarufu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Mlinzi afa akiwa kazini
11 years ago
Mwananchi18 May
Kuambiana afariki akiwa kazini
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-VeYOb5aICds/VXCsI3kxO-I/AAAAAAADp_w/OqAhrWSSZx4/s72-c/1406433.jpg)
KADRA MOHAMED: MWANAMKE WA KWANZA POLISI KUVAA HIJABU AKIWA KAZINI MINNESOTA, MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-VeYOb5aICds/VXCsI3kxO-I/AAAAAAADp_w/OqAhrWSSZx4/s640/1406433.jpg)
Umewahi kusikia habari za Kadra Mohamed? kama bado ni lazima usikie.
Yeye ni mwanamke wa kwanza wa Somalia kuwa Afisa wa Polisi katika mji wa Minnesota nchini Marekani kuvaa hijabu akiwa kazini.Kadra mwenye umri wa miaka 22 ameandika historia katika dunia.Kadra amemaliza masomo ya mafunzo ya Upolisi mwezi Mei mwaka huu katika chuo cha St Paul Police Academy.Alijiunga na St Paul mwezi Machi mwaka jana katika ulinzi shirikishi baada ya idara hiyo ya Polisi kupitisha sheria ya kuruhusu wanawake...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw
MOJA ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua, kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...
10 years ago
Michuzi10 Oct
11 years ago
GPL20 Mar
OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Kenyatta-and-Obama-2.jpg)
OBAMA AKIWA KATIKA MKUTANO WA WAJASIRIAMALI, NAIROBI
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?