‘Rasimu inahitaji marekebisho makubwa’
Siku moja kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba mjini Dodoma, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Hamid Mbwezeleni amesema rasimu hiyo inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa kutokana na baadhi ya vifungu kugongana na vingine utekelezaji wake kuwa mgumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Blatter: Fifa inahitaji mageuzi makubwa
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa
ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...
11 years ago
BBCSwahili03 Jul
Brazil inahitaji mwanasaikolojia
10 years ago
Habarileo10 Jun
‘Tanzania inahitaji rais mwanamke’
MGOMBEA Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salum Ali amesema wanawake hawana sifa ya ufisadi na ufujaji wa mali za umma na kwamba Tanzania inahitaji Rais Mwanamke.
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Magufuli: Nchi inahitaji mabadiliko
Na Bakari Kimwanga, Mbeya
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema taifa linahitaji mabadiliko ya kiuongozi chini yake na siyo kwa kubadili chama kilichopo madarakani.
Amesema pamoja na kuwa kuna wimbi la watu wanaotaka mabadiliko, ni vema wakatambua kwamba yatapatikana kupitia CCM na si nje ya chama hicho.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbalizi, Mbeya Vijijini na Wilaya ya Chunya mkoani hapa kwa nyakati...
9 years ago
Raia Mwema10 Dec
CECAFA inahitaji mipango mipya
PAMOJA na kuwa ni miongoni mwa mashirikisho makongwe barani Afrika, Kusini mwa Sahara, Baraza la
Mwandishi Wetu
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
‘Tanzania inahitaji mabadiliko ya kiuchumi’
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa katika sekta ya uchumi yatakayosaidia kuharakisha maendeleo ya viwanda hali ambayo itasaidia kutatua tatizo la ajira kwa wananchi wake...
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
UN:Yemen inahitaji msaada wa dharura
9 years ago
Raia Mwema06 Nov
Z’bar inahitaji umakini zaidi
UAMUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha, kufuta Uchaguzi Mkuu wa vis
Mwandishi Wetu