RC ataka wakazi wa Dar kuwa wasafi
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amewataka wakazi wa mkoa wake kuwajibika kusafisha mazingira yanayowazunguka na kuachana na tabia ya kuzilaumu Halmashauri za Manispaa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Mbunge ataka Dar kuwa safi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ametaka kujua kwanini Jiji la Dar es Salam linazidi kuwa chafu wakati fedha nyingi zilitumika kufanya usafi kwa muda mfupi alipokuja Rais wa...
9 years ago
StarTV23 Nov
Muinjilisti Dk. Falk ataka wakazi Morogoro kuwajibika ili kujiletea maendeleo
Wakazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro wametakiwa kufanya kazi kwa bidii katika kujiletea maendeleo kwa kutumia njia zinazompendeza mwenyezi Mungu na kuepuka njia za mkato ambazo zinaweza kuwaingiza kwenye matatizo na kuhatarisha maisha yao.
Akihutubia katika mkutano wa injili kwa wakazi hao, Mwinjilisti wa Kimataifa kutoka Arusha Dokta Egon Falk amesema maendeleo hayaletwi kwa maombi pekee bali yanaletwa na kila mmoja katika jamii kufanya kazi kwa bidii itakayomuingizia kipato...
9 years ago
Bongo531 Dec
Wakazi kuanza kuwa muongozaji wa filamu

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Wakazi ameweka wazi fani yake nyingine ya kuongoza filamu ambayo anatarajia kuifanyia kazi rasmi.
Wakazi ameiambia Bongo5 kuwa ubunifu wake umempatia ujuzi wa kufanya vitu vingi.
“Kwenye mambo ya filamu mimi ni mtu mbunifu na watu wote ambao ni wabunifu hawawezi kujilimit,” alisema.
“So far ni kitu ambacho nakipenda na tayari nimeshashirikishwa kwenye movie moja inaitwa Bongo na Fleva lakini haijatoka ila nataka wakati ujao niweze kukaa nyuma ya kamera na kuwa...
11 years ago
BBCSwahili29 Sep
Somalia:Wakazi wahisi kuwa salama
11 years ago
Habarileo18 Sep
Bilal ataka waandishi kuwa makini
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameitaka vyombo vya habari kujiuliza mambo wanayoweza kuyaweka hadharani kwa kuyaandika au kuyatangaza na yanayofaa kuhifadhiwa kwa sasa nchi inapoelekea katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu.
10 years ago
StarTV30 Oct
Wakazi wa Iringa watakiwa kuwa watulivu na kulinda amani
Wakazi wa mkoani Iringa wametakiwa kuwa watulivu kwa kupunguza ushabiki wa kisiasa ili kuepusha vurugu zisizo na msingi na kuufanya mkoa huo kuwa sehemu salama ya kuishi.
Hatua hiyo inatokana na uwepo wa watuhumiwa 50 waliokamatwa kwa madai ya kufanya vurugu wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi.
Ni kutokana na mvutano uliopo baina ya makundi mawili ya kisiasa juu ya ushindi wa mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa- Bi- Amanina...
10 years ago
StarTV07 Sep
Wakazi Geita Mjini wawataka wagombea kuwa wakweli
Wakazi wa Jimbo la Geita Mjini wamewataka wagombea ubunge kuwa na ahadi za kweli ili kuwasaidia kupata mahitaji ya kijamii ambayo wawakilishi waliopita hawakuweza kuyatatua.
Matatizo yanayowakabili ni ukosefu wa maji salama, ajira, umeme wa uhakika na huduma za afya wakidai kuwa kiongozi atakayepata nafasi ya kuwawakilisha wananchi kwa miaka mitano na kushindwa kuzitatua kero zao watahakikisha anaishia miaka mitano na kuchagua mwingine.
Wakazi wa Geita Mjini wamesema umefika muda sasa wa...
10 years ago
Vijimambo27 Dec
SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU

11 years ago
Habarileo26 Apr
Ataka usawa wa jinsia kuwa Tunu ya Taifa
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Magdalena Rwebangira ametaka usawa wa jinsia kuwa sehemu ya Tunu za Taifa katika Katiba mpya na kueleza kuwa maandalizi ya muundo wa serikali tatu bado ni hafifu kuweza kutumika nchini.