RECHO HAULE: NINGEKUWA NA MIMBA, NINGEJIRUSHA?
![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX04vVOFpopS*-4MwM5TAOOYkg2D2ISC7JdmSgEvcE5hE-gVDRMTq-o31Jx5aHYXjJnirPMdVLpe7DFxmg1IBPNm/RECHO.jpg?width=650)
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ ameendelea kusisitiza kuwa hana ujauzito akidai kama angekuwa nao asingejirusha kwenye viwanja vya starehe. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’. Recho alitoa kauli hiyo juzikati baada ya mwandishi wetu kumuuliza kuhusu ujauzito wake ambao unadaiwa ni mkubwa, akachomoa na kusema hana. “Sasa hiyo mimba tangu nimeanza kuambiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL27 May
11 years ago
CloudsFM29 May
RECHO HAULE KUZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo,Rachel Haule ambaye alifariki dunia mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye yeye akafariki,utaagwa leo katika viwanja vya Leaders kuanzia saa nne asubuhi sanjari na mwili wa mtoto wake na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni,
11 years ago
GPLMAZISHI YA RECHO HAULE YALIVYOFANYIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UNLS4gVrmPE/U4T4pbwaFbI/AAAAAAAFloI/hewEhdu0fZM/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Msanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia
![](http://1.bp.blogspot.com/-UNLS4gVrmPE/U4T4pbwaFbI/AAAAAAAFloI/hewEhdu0fZM/s1600/unnamed+(6).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfbInsB5bPTeKPqhD-lx8I5XDcvisLnWMVXZvcVDCVp-BSEuKBcxmGMSG0*t1E7JFVoGudwJkzBZ-5MPR4cuTi2f/HAWAGHASIA.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI HAWA GHASIA, NINGEKUWA WA KWANZA KUJIUZULU
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s72-c/wema%2B%284%29.jpg)
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s640/wema%2B%284%29.jpg)
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
10 years ago
Habarileo06 Feb
Haule awa Balozi Kenya
RAIS Jakaya Kikwete amemteua John Haule kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Ningekuwa Zitto, ningepokea posho
SAKATA la posho linazidi kuchukua sura mpya kila kukicha. Safari hii limekuja katika namna isiyotarajiwa, hasa baada ya kuzuka kwa tuhuma kwamba baadhi ya wabunge wamekuwa wakichukua posho za safari...
10 years ago
Habarileo13 Feb
Kikwete awaapisha Dk Mwinyimvua, Balozi Haule
RAIS Jakaya Kikwete amewaapisha Dk Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara Fedha na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, John Haule katika hafla iliyofanyika jana Ikulu, Dar es Salaam.