RIYAMA: UMBUMBUMBU UMENIACHISHA SHULE
![](http://api.ning.com:80/files/U-QNuL7WAxmv1JvR1BcPR8hpGtUfIYkWfKVuDJ0-3wpzC2jwzaTi8Z3jXBzKa818*IoYTF0HsKwyAps6Ic0FzylQtTNl3dZP/Riyama.jpg?width=650)
Staa wa Filamu Bongo, Riyama Ally. Na Brighton Masalu KILAZA! Staa wa Filamu Bongo, Riyama Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Riyama alisema kuwa kutokana na umbumbumbu wake alilazimika kuishia kidato cha pili baada ya masomo kuzidi kuwa magumu....
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Hiki Ndicho Kilichomuachisha Shule Riyama
Staa wa Filamu Bongo, Riyama Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Riyama alisema kuwa kutokana na umbumbumbu wake alilazimika kuishia kidato cha pili baada ya masomo kuzidi kuwa magumu.
“Kwa kweli ugumu wa masomo ulinifanya niache shule, niliona kama wazazi wanapoteza pesa yao bure, sikuwa naambulia chochote,...
9 years ago
Habarileo10 Oct
Umbumbumbu watajwa chanzo cha ajali
KUKOSEKANA kwa uelewa juu ya hatari na madhara yanayoweza kusababishwa na kemikali kumetajwa kuwa ni chanzo kikubwa cha ajali mbalimbali hapa nchini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vr8e9vI-HyOQbyxZorQtSnf55qv8M5gaV-Ve-FNMICg4f4OALN19DsF9N6J2S2WV7uUvYYnadTVbrkGj6HhzUa2H8X4X8EzY/caitlynjenner5600x800.jpg?width=650)
CAITLYN JENNER: UANAMKE UMENIACHISHA BIA
9 years ago
Bongo Movies16 Aug
Nasaha za Riyama
Msanii nyota wa kike wa filamu , Riyama Ally ametaka wasanii wachanga kutoridhika na mafanikio madogo wanayoyapata pindi wanapofanikiwa ‘kutoka’ katika fani hiyo.
Akizungumza na NIPASHE, Riyama alisema wasanii wanatakiwa kutoridhika tu na pato la uigizaji, bali pia wajikite katika kutafuta uwezekano wa kuwa pia watayarishaji wa filamu. Riyama alikuwa akizungumza juu ya fialamu yake mpya ya ‘Sharo Doma’.
Chanzo:Nipashe
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3WKSjyltRAkvklhv2pdg*GlKDZbdKuVmBinTuOoyJR93N-52R3J7lkGwuLg520aQ8gSGMGlRJN96eDYrD3J6BQ8/RIYAMA.gif?width=650)
RIYAMA LAIVU!
9 years ago
Bongo Movies03 Sep
Riyama Anaswa Laivu!
KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika.
Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa watafunga ndoa, kwani anampenda kwa dhati mpenziwe huyo, aliyesema ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, akifanya Hip Hop.
“Yeah,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGiZaSmWxPS4uCIrw7oJzmpMv8JKPRKSQ5x**uOpU5sHv7tT87G8kIBRnSsfn7gcf-JTM-P3-cxLT-xhKiS6jjXzt/riyama.jpg)
ALIYEZAA NA RIYAMA ANASWA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdio-d2kTvwCl7IQ7hGkHwwpL2nRb0Kq*tE10a1k-X-csnxRR0NRQsHdZDKyl79sCx9-JWdmGxOO3e8wcMGBXxi5/frank1.jpg?width=650)
FRANK: RIYAMA ANANIZIBIA!
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Waigizaji wamuudhi Riyama
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Riyama Ally ‘Riyama’, amesema anachukizwa na vitendo vya waigizaji kushindwa kuonyeshana upendo wa kweli.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Riyama alisema mara nyingi amekuwa akijaribu kuonyesha upendo kwa kila msanii hata kama amemkosea.
“Ninachukizwa sana na waigizaji ambao unakuta wanagombana na kushindwa kusameheana kwa vitu vidogo,” alisema Riyama.
Alisema upande wake amekuwa muwazi na kupenda kumueleza ukweli mtu...