Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waigizaji wamuudhi Riyama

RiyamaNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Riyama Ally ‘Riyama’, amesema anachukizwa na vitendo vya waigizaji kushindwa kuonyeshana upendo wa kweli.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Riyama alisema mara nyingi amekuwa akijaribu kuonyesha upendo kwa kila msanii hata kama amemkosea.
“Ninachukizwa sana na waigizaji ambao unakuta wanagombana na kushindwa kusameheana kwa vitu vidogo,” alisema Riyama.
Alisema upande wake amekuwa muwazi na kupenda kumueleza ukweli mtu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Riyama; Waigizaji 'Bongo Movie' hawapendani.

MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Riyama Ally ‘Riyama’, amesema anachukizwa na vitendo vya waigizaji kushindwa kuonyeshana upendo wa kweli.

Akizungumza jijini hivi karibuni, Riyama alisema mara nyingi amekuwa akijaribu kuonyesha upendo kwa kila msanii hata kama amemkosea. “Ninachukizwa sana na waigizaji ambao unakuta wanagombana na kushindwa kusameheana kwa vitu vidogo,” alisema Riyama.
Alisema upande wake amekuwa muwazi na kupenda kumueleza ukweli mtu anayemkosea ili kujenga ukaribu na...

 

11 years ago

BBCSwahili

City wamuudhi Toure

Manchester City walimuudhi kiungo Yaya Toure kwa kumpuuza alipokuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Waigizaji vaeni uhalisia

Ni wazi kuwa kila moja wetu anatamani kuburudika bila kujali ni aina gani ya burudani anayotaka.

 

11 years ago

GPL

WAPO MASUPASTAA, MASTAA NA WAIGIZAJI

MASTAA na waigizaji
MAKALA: Gladness Mallya
NITAELEWEKA tu! Sina ubishi kwamba kwa sasa Bongo, fani ya sanaa ya uigizaji ndiyo imeshika kasi kukubalika katika jamii (anayebisha anyooshe mkono, najua hakuna). Elizabeth Michael 'Lulu'. Siku hizi ukikatisha kwenye mitaa mbalimbali nchini Tanzania, hasa uswahilini, utagundua wengi wanaangalia ‘filamu za akina Kanumba’ kama vile Uncle JJ, Ndoa Yangu, Mr. Ben, World...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasanii na waigizaji wanavyopotosha Kiswahili

Katika makala zilizopita kuhusu makosa katika magazeti, nilieleza juu ya makosa yanayojitokeza mara kwa mara katika vyombo vya habari kama redio, runinga na magazeti.

 

10 years ago

GPL

TOP 10 YA WAIGIZAJI WA KIKE WENYE MVUTO AFRIKA!

Stori: Amran Kaima na Mtandao Tasnia ya filamu Afrika inakuwa kila siku kiasi kwamba zile ndoto za kufanya kama wenzetu wa Hollywood (Marekani) na Bollywood (India) huenda siku moja zikatimia. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Kama ilivyo Hollywood na kwingine kwenye waigizaji wa kike wenye mvuto, wapo pia waigizaji wa kike Afrika ambao ni ‘visu’.Leo hii ikihitajika Top 10, kila mmoja atakuwa na yake lakini...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Ataja Waigizaji Ambao Anavutiwa Kuigiza Nao

“Leo nimejisikia kuwataja waigizaji ambao navutiwa kuigiza nao.naanza na wakina mama huyu  (Bi Hindu) kwangu ni namba moja. Ana heshima na mbunifu. sana ingawa Bi Mwenda na mama Tecla Mjata nao wako moyoni mwangu”-JB aliandika haya mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Bi Hindu.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Kuja na Tamthilia,Usaili Utafanyika Kuwapata Waigizaji

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye ana mailiki kampuni ya utayarishaji wa filamu, Jerusalem Films  amesema kwa kwasasa wapo kwenye utarayishaji wa awali wa tamthilia ambayo itaanza hivi karibuni na kuwatakka watu wote ambao mara nyingi wamekuwa wakimtumia ujumbe kuwa wanataka kuigiza wasubiri  na mambo ya kikamilika atawaita kwenye usaili.

Kila siku napokea simu zaidi ya 50 na sms nyingi mno kwenye simu ,fb, na hata hapa insta agenda ni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Davina Akiri Kuwa Waigizaji Wengi wa Kike Wanajiuza!!!

Muigizaji  mkongwe wa filamu na moja kati ya waasisi wa Kaone Sanaa Group, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna waigizaji wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi.

Akipiga stori na paparazi wa GPL, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee.

“Tatizo ni kwamba wasanii tumekutana kila mmoja ana tabia zake na ni ngumu kujua undani wa mtu kwa kumtazama mara moja,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani