JB Ataja Waigizaji Ambao Anavutiwa Kuigiza Nao
“Leo nimejisikia kuwataja waigizaji ambao navutiwa kuigiza nao.naanza na wakina mama huyu (Bi Hindu) kwangu ni namba moja. Ana heshima na mbunifu. sana ingawa Bi Mwenda na mama Tecla Mjata nao wako moyoni mwangu”-JB aliandika haya mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Bi Hindu.
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi07 Sep
Nyota wa Ligi Kuu Bara ambao kadi hazichezi mbali nao
9 years ago
Bongo502 Dec
Joh Makini ataja ma-rapper wanne wa kimataifa anaotamani kufanya nao collabo
![weusi1 (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/weusi1-1-300x194.jpg)
‘Don’t Bother’ imetimiza moja ya ndoto alizokuwa nazo rapa wa Weusi, Joh Makini za kuja kufanya collabo na rapa wa Afrika Kusini Kiernan Jarryd Forbes a.k.a AKA.
Joh Makini amewataja ma-rapper aliokuwa, na ambao bado anatamani kuja kufanya nao collabo pindi fursa hiyo itakapojitokeza, akiwemo AKA ambaye tayari amefanikiwa kufanya naye ‘Don’t Bother’ inayofanya vizuri kwa sasa.
“Unajuaga kunakuwaga na watu wako flani ambao unawaskilizaga pia na unapenda wanachokifanya kwamba siku ikitokea ...
10 years ago
CloudsFM23 Jan
SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.
Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.
’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Waigizaji vaeni uhalisia
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Waigizaji wamuudhi Riyama
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Riyama Ally ‘Riyama’, amesema anachukizwa na vitendo vya waigizaji kushindwa kuonyeshana upendo wa kweli.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Riyama alisema mara nyingi amekuwa akijaribu kuonyesha upendo kwa kila msanii hata kama amemkosea.
“Ninachukizwa sana na waigizaji ambao unakuta wanagombana na kushindwa kusameheana kwa vitu vidogo,” alisema Riyama.
Alisema upande wake amekuwa muwazi na kupenda kumueleza ukweli mtu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d12ugjGGyGtr1TL9wu71oa2BypsgO7VmGNGmT3N*e2Ld62vHsAc3PALbUHHO-J4nZRuGsHMbXJeLLeJBEkW2DS6/masupastaa.jpg?width=650)
WAPO MASUPASTAA, MASTAA NA WAIGIZAJI
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Wasanii na waigizaji wanavyopotosha Kiswahili
10 years ago
CloudsFM18 Feb
Riyama; Waigizaji 'Bongo Movie' hawapendani.
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Riyama Ally ‘Riyama’, amesema anachukizwa na vitendo vya waigizaji kushindwa kuonyeshana upendo wa kweli.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Riyama alisema mara nyingi amekuwa akijaribu kuonyesha upendo kwa kila msanii hata kama amemkosea. “Ninachukizwa sana na waigizaji ambao unakuta wanagombana na kushindwa kusameheana kwa vitu vidogo,” alisema Riyama.
Alisema upande wake amekuwa muwazi na kupenda kumueleza ukweli mtu anayemkosea ili kujenga ukaribu na...
10 years ago
Bongo Movies22 Jul
JB Kuja na Tamthilia,Usaili Utafanyika Kuwapata Waigizaji
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye ana mailiki kampuni ya utayarishaji wa filamu, Jerusalem Films amesema kwa kwasasa wapo kwenye utarayishaji wa awali wa tamthilia ambayo itaanza hivi karibuni na kuwatakka watu wote ambao mara nyingi wamekuwa wakimtumia ujumbe kuwa wanataka kuigiza wasubiri na mambo ya kikamilika atawaita kwenye usaili.
Kila siku napokea simu zaidi ya 50 na sms nyingi mno kwenye simu ,fb, na hata hapa insta agenda ni...