JB Kuja na Tamthilia,Usaili Utafanyika Kuwapata Waigizaji
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye ana mailiki kampuni ya utayarishaji wa filamu, Jerusalem Films amesema kwa kwasasa wapo kwenye utarayishaji wa awali wa tamthilia ambayo itaanza hivi karibuni na kuwatakka watu wote ambao mara nyingi wamekuwa wakimtumia ujumbe kuwa wanataka kuigiza wasubiri na mambo ya kikamilika atawaita kwenye usaili.
Kila siku napokea simu zaidi ya 50 na sms nyingi mno kwenye simu ,fb, na hata hapa insta agenda ni...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo531 Oct
Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’
![nikki wa pili](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/03/nikki-wa-pili-94x94.jpg)
10 years ago
BBCSwahili27 Jun
Burundi:''Uchaguzi utafanyika Jumatatu''
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Uchaguzi 2015 utafanyika kwa sheria ipi?
SERIKALI, imewasilisha miswada 33 itakayokwenda kutungiwa sheria katika mkutano wa Bunge unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao, lakini kati ya hiyo hakuna hata mmoja unaozungumzia sheria ya uchaguzi. Mwenyekiti wa Kamati...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MCHAKATO WA KUWAPATA WASHINDI KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAENDELEA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DXP3cusISYc/U2xt7F97b-I/AAAAAAAFgbE/33OpcSBU4-w/s1600/unnamed.jpg)
TBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Waigizaji vaeni uhalisia
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Waigizaji wamuudhi Riyama
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Riyama Ally ‘Riyama’, amesema anachukizwa na vitendo vya waigizaji kushindwa kuonyeshana upendo wa kweli.
Akizungumza jijini hivi karibuni, Riyama alisema mara nyingi amekuwa akijaribu kuonyesha upendo kwa kila msanii hata kama amemkosea.
“Ninachukizwa sana na waigizaji ambao unakuta wanagombana na kushindwa kusameheana kwa vitu vidogo,” alisema Riyama.
Alisema upande wake amekuwa muwazi na kupenda kumueleza ukweli mtu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d12ugjGGyGtr1TL9wu71oa2BypsgO7VmGNGmT3N*e2Ld62vHsAc3PALbUHHO-J4nZRuGsHMbXJeLLeJBEkW2DS6/masupastaa.jpg?width=650)
WAPO MASUPASTAA, MASTAA NA WAIGIZAJI