RPC ataka umakini uandishi wa ugaidi
KAMANDA wa Polisi mkoani Dodoma David Misime ameonesha hofu ya kuripotiwa kwa taarifa za kigaidi zisizo na uhakika.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Umakini katika Uandishi
Siku za hivi karibuni nilipata fursa ya kusoma habari zilizoandikwa katika gazeti moja la Kiswahili kwa umakini mkubwa kwani ilikuwa siku ya Jumapili  ambayo ni siku ya mapumziko. Zilikuwapo kurasa mbili zilizokuwa na makosa mengi ya kizembe. Nimesema ni makosa ya kizembe kwa kuwa waandishi na hata wahariri hawakufanya kazi zao ipasavyo. Hawakujali kutimiza wajibu wao. Ilipasa wahariri wasome makala zilizoandikwa na waandishi ili kurekebisha makosa yaliyo dhahiri ni ya...
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Nooij ataka umakini zaidi Taifa Stars
 Kocha wa Taifa Stars, Martinus Nooij amewaonya wachezaji wake na kuwataka waongeze umakini dakika zote 90 za mchezo, huku akiahidi ushindi ugenini dhidi ya Msumbiji.
11 years ago
Habarileo20 Jul
Mhadhiri ataka umakini sekta binafsi kuboresha elimu
IMEELEZWA kuwa ni hatari uwekezaji kwenye elimu nchini kufanywa na watu wasio na elimu ili mradi awe na pesa za majengo na vifaa mbalimbali.
10 years ago
Vijimambo
RPC DODOMA ONGEA NA VIONGOZI WA TARAFA YA DODOMA MJINI KUHUSIANA NA HALI YA ULINZI NA USALAMA PAMOJA NA MATISHIO YA UGAIDI MKOANI HUMO



10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Ugaidi:Rais wa Somalia ataka ushirikiano
Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud, amesema kuwa Somalia na Kenya zinafaa kuimarisha uhusiano wao dhidi ya ugaidi,
11 years ago
Habarileo30 Jul
Shekhe ataka Uislamu utofautishwe na ugaidi
SHEKHE wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ameitaka jamii kutofautisha Uislamu na ugaidi, kwa kuwa dini hiyo na matendo hayo ni tofauti mithili ya ardhi na mbingu.
10 years ago
Mwananchi20 May
Rais wa Msumbiji ataka wabunge waungane dhidi ya ufisadi, ugaidi
>Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewataka wabunge kuwa kitu kimoja katika viti dhidi ya ufisadi na ugaidi na nchi yake itakuwa mstari wa mbele kushirikiana na Tanzania kupambana na maovu hayo.
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Uandishi usio uandishi wa habari
Kama kuna uandishi wa habari ambao utachukiza na hata kuchefua wasomaji na wasikilizaji Jumapili hii, ni unaofanana na huu hapa.
10 years ago
GPL
MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI
Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani, Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania