Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ruaha imetapika, tunasubiri kisingizio Tanesco!

10153840_733627990023381_7444733151372771307_n

Mto mdogo Ruaha unaokatiza mpaka kwenye Manispaa ya Iringa ‘umetapika’, au umefurika katika maeneo mengi. Mashamba ya pembezoni mwa mto huo, yamefunikwa na maji na wakulima wengi wanalia.

Wenyeji wa mkoa wa Iringa wanasema kwamba, mafuriko ya mwaka huu hayajawahi kutokea katika miaka 10 iliyopita tangu walipoyashuhudia mafuriko ya mwaka 1998 wakati wa Mvua za El Nino.

Mto huo ndio unaoungana na Ruaha Mkuu kumwaga maji katika Bwawa la Mtera na hatimaye kwenye Mto Kilombero kuelekea...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Louis van Gaal hana kisingizio

Bosi wa Manchester United Louis van Gaal amesema hana kisingizio chochote cha kwanini wametolewa kwenye UEFA Champions ligi.

 

5 years ago

Michuzi

CORONA ISIWE KISINGIZIO CHA KUTOKAMILISHA MIRADI YA UMEME


Jiwe la msingi lililowekwa na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ikiwa ni kuzindua na kuwasha taa zinazotumia mwanga wa jua( Solar) katika mitaa ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
Muonekano wa Kituo kipya cha Afya cha Bwina nyakati za usiku baada ya Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani kuwasha umeme katika kituo hicho.

Muonekano wa barabara za Mitaa cha Chato baada nyakati za usiku baada ya Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani kuzindua na kuwasha taa zinazotumia mwanga wa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU YAMDAKA ALIYEKUWA AKITAPELI WATU FEDHA KWA KISINGIZIO CHA KUWATAFUTIA KAZI

 Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Dodoma, Sosthnes Kibwengo akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake leo jijini Dodoma.


Charles James, Michuzi TV.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma inamshikilia Bw Simon Jumbe mkazi wa Kisasa jijini Dodoma kwa tuhuma za kujiita Afisa wa Takukuru kinyume na sheria.
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma, Mkuu wa Takukuru Mkoani hapa, Sosthnes Kibwengo amesema wamemkamata...

 

11 years ago

Mwananchi

Makocha wapya, tunasubiri matokeo

Hakuna shaka kwamba kiu ya mashabiki wowote wa soka ni matokeo mazuri uwanjani. Hii ina maana kwamba, timu inapofanaya vibaya, yaani kupata matokeo mabaya na kushindwa kutwaa mataji, mashabiki hukosa furaha.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunasubiri ‘Matokeo Makubwa Sasa’ Madola

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow, Scotland katika ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Julai 23 kwenye Uwanja wa Celtic Perth.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunasubiri moshi mweupe urais 2015

>Hakika kama Watanzania wote tungekuwa waumini wa Kanisa Katoliki, tungesema tunasubiri ‘moshi mweupe’ kwa hamu ili kumjua Rais wa awamu ya tano atakayemrithi Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Tunasubiri neno la Rais tuachie ngazi’

Frederick Werema

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema

Na Waandishi Wetu

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, wamesema baada ya hukumu ya Bunge sasa wanasubiri neno la Rais.

Viongozi hao waliyasema hayo jana, ikiwa ni siku chache tangu Bunge kupendekeza mamlaka za uteuzi ziwavue madaraka.

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa bungeni na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali...

 

9 years ago

Mwananchi

Hiki ndicho tunasubiri katika michezo

Kipindi ambacho sekta ya michezo ilikuwa inahitaji fedha kwa ajili ya kusomesha watalaamu na kugharimia maendeleo yake, Serikali iliwakatisha tamaa wadau wa michezo ilipopitisha uamuzi wa kusikitisha.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Tunasubiri vitendo maazimio ya marais

>Wiki hii, Tanzania ilikuwa mwenyeji wa marais watatu na viongozi wengine waandamizi wa nchi za Ukanda wa Kati. Marais hao ni Paul Kagame wa Rwanda, Pierre Nkurunziza wa Burundi na Yoweri Museveni wa Uganda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani