Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ruhangisa aomba korti isimtie hatiani

Kesi dhidi ya madiwani wanane wa Manispaa ya Bukoba imeendelea, huku Diwani wa Kata ya Kitendaguro ambaye pia ni Meya wa zamani, Samwel Ruhangisa akiomba mahakama isimtie hatiani kwa sababu hakupewa taarifa za vikao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wa Kenya hatiani

Wanariadha wawili wa kike nchini Kenya, Viola Kimetto na Joyce Kiplimo, wamepigwa marufuku kushiriki riadha, baada ya Shirikisho la riadha Kenya, kugundua walikuwa wakitumia dawa za kuongezea nguvu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wamiliki wa Ghala hatiani China

Wamiliki wawili wa ghala zilizosababisha mlipuko wiki iliyopita walipata kibali cha kuhifadhi bidhaa hizo kwa kujuana -xinhua

 

11 years ago

BBCSwahili

4 hatiani kwa kumbaka mpigapicha India

Mahakama moja katika mji wa Mumbai nchini india imewapata na hatia watu wanne kwa kosa la kumbaka mpiga picha

 

11 years ago

BBCSwahili

3 hatiani kwa kumbaka mtawa India

Mahakama nchini India imewapata na hatia watu 3 waliombaka mtawa wa kikatoliki wakati wa ghasia za kupinga dini ya kikristo mwaka 2008

 

10 years ago

BBCSwahili

4 hatiani kwa jaribio la kumuua Nyamwasa

Wanaume 4 walioshitakiwa kwa jaribio la kumuua aliyekuwa jasusi wa Rwanda Generali Faustin Kayumba Nyamwasa wapatikana na hatia

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Kisutu yamtia hatiani Macha

Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetoa uamuzi katika kesi inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Aingaya Macha (pichani) kuwa ana kesi ya kujibu.
Uamuzi huo, umetolewa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Devotha Kisoka katika kesi inayomkabili mfanyabiashara huyo ya kugushi hati ya kiwanja cha Ramadhan Balenga chenye namba 183 kilichopo Kigogo, mkataba wa mauziano na hati ya uhamishaji miliki.
Akitoa uamuzi huo jana, Hakimu Devotha alisema baada...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa UK hatiani kwa kumbaka mtoto

Mwanajeshi mwingereza ameshtakiwa kwa kosa la kumbaka na kumdhalilisha mtoto mwenye umri wa miaka 6 nchini Austria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Video:Aliyeruka kwa puto ajipata hatiani

Raia mmoja wa Canada aliyeruka kwa puto alijipata hatiani aliposhtakiwa kwa kuwa mtundu

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanawe Rais Zuma hatiani Afrika Kusini

Jopo moja nchini Afrika Kusini limegundua kuwa mwanawe Jacob Zuma hakua makini hadi kusababisha ajali ya barabarani ambapo mwanamke mmoja alifariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani