Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamiliki wa Ghala hatiani China

Wamiliki wawili wa ghala zilizosababisha mlipuko wiki iliyopita walipata kibali cha kuhifadhi bidhaa hizo kwa kujuana -xinhua

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza ghala Vingunguti

GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

SBL yafungua ghala Mbeya

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL), imefungua ghala kubwa la kwanza jijini hapa lenye uwezo wa kuhifadhi masanduku 80,000 hadi 100,000 ya bia kwa ajili ya kuhifadhi na kusambaza bidhaa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wa Kenya hatiani

Wanariadha wawili wa kike nchini Kenya, Viola Kimetto na Joyce Kiplimo, wamepigwa marufuku kushiriki riadha, baada ya Shirikisho la riadha Kenya, kugundua walikuwa wakitumia dawa za kuongezea nguvu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza ghala la Polisi Moshi

MOTO uliozuka jana katika ghala la Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA), umeteketeza vitu mbali mbali vilivyokuwa katika jengo hilo ambalo limekuwa likitumika kama stoo ya kuhifadhi majora ya...

 

11 years ago

GPL

FIKIRIA KUNUNUA GHALA, SIYO BIDHAA

FIKIRIA kununua ghala, siyo bidhaa
Tunakutana tena katika safu yetu hii ya ujasiriamali ambayo ingawa walengwa ni wanafunzi, lakini hata watu wazima pia inaweza kuwasaidia kwa kuwa hakuna umri wa mwisho katika kutafuta maisha bora. Wapo watu ambao wamekuwa kati ka biashara kwa muda mrefu lakini bado hawajaona faida yoyote kiasi cha kuwafanya waanze kuchanganyikiwa. Jibu ni rahisi. Wanachopaswa kukiweka akilini mwao ni kuachana...

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi Kigoma kuwa ghala la chakula

Mgombea wa urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo akipewa ridhaa ya kuwa rais wa awamu ya tano atahakikisha Mkoa wa Kigoma unakuwa ghala la chakula.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa UK hatiani kwa kumbaka mtoto

Mwanajeshi mwingereza ameshtakiwa kwa kosa la kumbaka na kumdhalilisha mtoto mwenye umri wa miaka 6 nchini Austria.

 

11 years ago

BBCSwahili

3 hatiani kwa kumbaka mtawa India

Mahakama nchini India imewapata na hatia watu 3 waliombaka mtawa wa kikatoliki wakati wa ghasia za kupinga dini ya kikristo mwaka 2008

 

11 years ago

BBCSwahili

4 hatiani kwa kumbaka mpigapicha India

Mahakama moja katika mji wa Mumbai nchini india imewapata na hatia watu wanne kwa kosa la kumbaka mpiga picha

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani