Rutabanzibwa: Rasilimali zisimamiwe
KATIBU Mkuu mstaafu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Pan African Energy, Patrick Rutabanzibwa, amewataka viongozi wa serikali kusimamia kikamilifu rasilimali zilizopo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Jun
MAONI : Sheria zisimamiwe kudhibiti uuzwaji holela wa dawa
9 years ago
Habarileo18 Oct
Mabadiliko ya rasilimali
MJUMBE wa kampeni ya taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba amesema mabadiliko yanayotakiwa wakati huu ni ya utendaji na usimamizi wa rasilimali za taifa na maslahi kwa jamii na sio kukiondoa chama kimoja na kukiweka kingine madarakani.
11 years ago
Habarileo01 Aug
Tanzania yafagiliwa mgawanyo rasilimali
TANZANIA imetajwa kama mfano wa kuigwa katika mgawanyiko sahihi wa rasilimali za taifa kwenye sekta ya elimu. Imetajwa kwamba imesambaza rasilimali zake kwa kuhakikisha kuwa kila mtoto wa Mtanzania anayefikisha umri wa kwenda shule anasoma jambo ambalo linaepusha malalamiko kutoa kwenye jamii.
11 years ago
Habarileo22 Jan
Viongozi wa dini kusimamia rasilimali
SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kusimamia rasilimali za nchi kwa kushirikiana na viongozi wa dini, ili kuondoa upotoshaji na kuimarisha umoja na amani ya nchi. Rais Kikwete alisema hayo jana katika kongamano lililoandaliwa Dar es Salaam na viongozi wa dini nchini, kuhusu rasilimali za gesi asilia, mafuta na madini.
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Mwajage: Rasilimali watu kikwazo
HALMASHAURI za wilaya nchini zimekuwa zikikwama kufikia malengo kutokana na kuwepo kwa utendaji usioridhisha. Akiuliza swali Bungeni, mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM), alisema moja ya mapungufu yaliyopo katika...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
TGNP yahizimiza mgawanyo rasilimali
KAIMU Mkurugezi wa Mtandao wa Jinsia (TGNP), Lilian Liundi, amesema nguvu ya pamoja katika kusimamia mgawanyo wa rasilimali inahitajika, ili kuleta mabadiliko katika jamii iliyoko pembezoni. Lilian aliitoa kauli hiyo...
11 years ago
Habarileo20 May
Rasilimali za nchi zachotwa kweupe
WAWEKEZAJI kutoka nje, wametajwa kugeuka mawakala wa kutorosha fedha nje ya uchumi wa Tanzania, kiasi cha mabilioni ya Dola za Marekani, ambayo yakibadilishwa, yanafikia matrilioni ya Shilingi. Fedha hizo zimekuwa zikiporwa nchini kutoka serikalini kwa maana ya kukwepa kodi na katika jamii, kupitia ununuzi wa bidhaa nje ya nchi, ambazo thamani yake huchakachuliwa kwa kuongezwa kinyume na thamani halisi.
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Rasilimali maji, nishati muhimu kuthaminiwa
MWAKA 1992 Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ulipitisha Azimio namba 47 kuwa Machi 22 ya kila mwaka, nchi wanachama waadhimishe Siku ya Maji Duniani. Hii inatokana na maji...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Rasilimali za umma zisitumike kupiga siasa