Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu zinazoua soko nchini zatajwa

Wadau wa biashara ya mazao ya nafaka nchini wamebainisha sababu mbalimbali zinazosababisha Tanzania kubakia nyuma katika ushindani wa biashara katika soko la Afrika Mashariki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sababu vifo vya wajawazito zatajwa

UKOSEFU wa nyumba za watumishi katika Sekta ya Afya hasa maeneo yenye miundombinu duni ya usafiri kunakofanya watumishi kushindwa kukaa katika maeneo hayo, kumetajwa kuwa ni moja ya mambo yanayochangia kuongeza vifo vya wajawazito na watoto.

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu za uhaba wa maji sasa zatajwa

Utafiti wa Shirika la Twaweza umebainisha kuwa kati ya mwaka 1990 na 2011, hali ya upatikanaji wa huduma ya maji ulishuka kutoka asilimia 55 hadi kufikia asiliamia 53.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sababu za wananchi kutopiga kura zatajwa

CHANGAMOTO zinazowakabili wananchi kutopatiwa ufumbuzi ama kupewa kipaumbele na viongozi wa kisiasa zimeelezwa kuwa chanzo cha wananchi kususia uchaguzi na kuendelea na shughuli zao za kila siku. Hayo yameelezwa jana...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE NCHINI CHINA AFAFANUA SABABU ZA KUBAGULIWA KWA BAADHI YA WAAFRIKA NCHINI HUMO


Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China China Mhe. CHEN Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Mataifa ya Afrika katika Mji wa Guangzhou uliopo katika Jimbo la Guangdong.




Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

NAIBU Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya watu wa China Chen Xiaoding amekutana na mabalozi wa nchi za Afrika akiwemo balozi wa Tanzania nchini humo Mbelwa Kairuki na kufafanua taarifa na changamoto...

 

9 years ago

Michuzi

SOKO LA HISA NCHINI LAPOROMOKA KWAASILIMIA 62.

Na Ally Daud –MAELEZOIdadi ya mauzo katika soko la hisa la Dar es salaam DSE limeshuka kwa asilimia 62 kutoka shilingi bilioni 6.4 hadi kufikia shilingi bilioni 2.4 ambapo zimeuzwa na kununuliwa katika soko zimeshuka kutoka milioni 4.3 hadi kufikia milioni 2.7.
Akiongea na waandishi wa habari Meneja Miradi na Biashara waDar es salaam Stock Exchange  Bw. Patrick  Mususa alisema kuwa hata hvyo idadi ya mtaji katika soko umekuwa kutoka tilioni 21.9 hadi tilioni 22.3 ikiwa pia na idadi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

WOP na nia ya kunusuru soko la ngozi nchini

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya mifugo ikilinganishwa na nchi nyingine. Takwimu kutoka katika Wizara ya Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo zinaonyesha kuwa kuna ng’ombe milioni 21.3; ...

 

10 years ago

Michuzi

TEMESA YATAKIWA KULIKABILI SOKO LA USHINDANI NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe amezungumzia umuhimu wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kutangaza huduma wanazozitoa kwa wananchi ili jamii iweze kunufaika na huduma hizo kwa wakati na  gharama nafuu.
Akizungumza na Menejimenti ya TEMESA jijini Dar es salaam leo, Eng. Iyombe amesisitiza Wakala huo kuwa na wafanyakazi wenye weledi, waliokabidhiwa mamlaka kamili na wabunifu ili kuhuisha huduma zinazotolewa kwa wananchi na kujiongezea mapato.
“Hakikisheni mnatumia...

 

10 years ago

Michuzi

SOKO LA FILAMU NA MUZIKI LAPOROMOKA KWA KASI NCHINI

SAM_3481Aliyesimama ni Mwenyekiti wa Taifa wa umoja wa wasambazaji wa kazi za Sanaa nchini, yaani ‘Tanzania Audio Visual Works Distributors,’ Baraka Nyanda akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha  juu ya kushuka kwa ubunifu miongoni mwa wasanii nchini ambako kumepelekea uwepo wa sinema na miziki hafifu isiyoweza kustahimili ushindani wa soko la kazi za burudani duniani anayefatia ni katibu wa shirika hilo Frank Martin, watatu ni James Mollel katibu tawi la Arusha pamoja na Gabriel Simbeye,...

 

10 years ago

Mwananchi

Sababu za kushuka kwa hadhi ya walimu nchini

Miaka ya nyuma ualimu ulikuwa unachukuliwa kama mojawapo ya taaluma zinazoheshimika nchiniMtu kuitwa mwalimu ilikuwa ni fahari na hadhi kubwa  katika jamii. Katika maeneo mengi nchini baadhi ya watu walifikia hatua ya kujulikana kwa jina la Mwalimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani