Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sabasaba 2014 kuunganisha Uzalishaji na Masoko

Na Johary Kachwamba- MAELEZO.
Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam (38th DITF) yanatarajia kuanza tarehe  28 mwezi huu na kufikia kilele chake tarehe 8 Julai  2014 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya kilwa, jijini Dar-es-salaam.
Akitoa taarifa hiyo leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bibi. Jacqueline Mneney Maleko imeeleza kuwa maonesho  ya  mwaka huu yataongozwa na kauli mbiu isemayo “Tunaunganisha Uzalishaji na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TIB Development Bank yaunganisha uzalishaji na masoko

TIB inawakaribisha wadau wote kwenye banda lao la katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara 77 kuona jinsi gani wamewawezesha wateja wao kuzalisha bidhaa na kutoa huduma bora Kuendana na kauli mbiu ya 77 'Linking production to markets' TIB imefungua mgahawa wa kisasa kabisa ndani ya banda lake la 77 kuonyesha bidhaa za usindikaji na mazao zinazozalishwa na wateja wao kama nyama, kuku, mboga mboga, vinywaji, asali, mikate, chai, kahawa n.k

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT KUSHIRIKI MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LITASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.TUNAWAKARIBISHA KUJA KUTEMBELEA KATIKA BANDA LA SUMAJKT NA KUPATA BIDHAA NA HUDUMA ZENYE UBORA. PIA WAWEZA KUTUTEMBELEA KATIKA BLOGU YETUwww.sumajkt.blogspot.com na pia TOVUTU YETU www.sumajkt.go.tz

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Majeshi yatakiwa kuunganisha nguvu’

SERIKALI imeshauriwa kuunganisha nguvu za majeshi yote katika mapambano dhidi ya maadui wa ndani wapya watano ambao ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Akizungumza na Tanzania Daima kwa niaba ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matapeli wa kuunganisha umeme waibuka

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limewataka wananchi kuwa makini na  utapeli unaofanywa na baadhi ya watu ambao wanawarubuni wanaotaka kufungiwa umeme katika makazi yao kwa kuwadanganya kwamba wanaweza kuwasaidia kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawasiliano mapya kuunganisha Dar, Zanzibar

SERIKALI imezindua mradi wa njia mpya ya mawasiliano unaounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine. Hatua hiyo sasa inafanya Zanzibar kuimarika kimawasiliano hasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 50 ya Muungano nimeshindwa kuunganisha nukta

JUMAMOSI iliyopita Watanzania tumeadhimisha miaka 50 ya muungano wetu uliotokana na kuunganishwa kwa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar Aprili 26 mwaka 1964. Ni maadhimisho yaliyohudhuriwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Vodacom, Tigo sasa kuunganisha huduma

Zaidi ya wateja milioni 11 wa huduma za M-pesa na Tigo Pesa nchini, wanatarajiwa kunufaika na gharama nafuu za kutuma fedha baina ya mitandao hiyo kuanzia mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Baraza la kuunganisha vijana nchini kuundwa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraSERIKALI imesema kwamba Baraza la Vijana litakaloundwa, kitakuwa ni chombo cha kitaifa cha kuwaunganisha vijana kubaini changamoto zinazowakabili, bila kujali itikadi zao za kisiasa, dini, rangi na jiografia na namna ya kuzitatua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani