Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saida Karoli, Kingwendu kutumbuiza ‘mateja’ Moro

Saida Karoli..NA MWANDISHI WETU, MOROGORO

MSANII maarufu nchini, Saida Karoli na msanii waliyewahi kugombea ubunge jimbo la Kisarawe kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Rashid Mwinshehe, maarufu ‘Kingwendu’, wanatarajiwa kutumbuiza katika tamasha la kuunganisha nguvu za jamii kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya kwa vijana.

Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Desemba 20, limeandaliwa na viongozi wa dini wa Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na Kampuni ya Beula Communications, lengo likiwa ni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Saida Karoli anagombea jimbo gani?

Mfumo wetu wa Bunge tulionao sasa hivi unaruhusu kila mtu kuingia bungeni kufuata anachokitaka yeye, badala ya wanachokitaka wananchi

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Saida Yunus Chui alamba nondozzz

Mdau Saida Yunus Chui akiwa ni mwenye furaha sana muda mfupi baada ya kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership katika Chuo Kikuu cha Birmingham University, kule kwa Bibi (Uk).Mdau Saida Yunus Chui akiwa akiwa ndani ya ukumbi wa Chuo Kikuu cha Birmingham University, tayari kwa kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership.Mdau Saida Yunus Chui akiwa na hazbendi wake,Ahmed Mashaka (kulia) pamoja na Dada yake mada baada ya kula...

 

11 years ago

Habarileo

PSPF watoa misaada kwa watoto yatima wa Karoli Lwanga

MFUKO wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF) umetoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vya shule vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa Kituo cha watoto yatima katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga Parokia ya Yombo Dovya, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SAIDA MASHAUZI: Nilivunja ndoa ili niendelee kuimba

MTOTO wa nyoka ni nyoka, wanasema wahenga. Hivi ndivyo inajidhihirisha kwa Saida Ramadhani Makongo maarufu kama Saida Mashauzi, mwimbaji nyota wa kundi la muziki wa taarabu la Mashauzi Classic la...

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

11 years ago

Bongo Movies

Mke wa Kingwendu Abakwa.


MKE  wa  Kingwendu  ambaye  ni  muigizaji  maarufu  wa  filamu  za  vichekesho  nchini  amefanyiwa  kitendo  kibaya  cha  ubakaji  na  mwanaume  aliyefahamika  kama  Upunguvuku  katika  pagala  moja  huko  Mbagala  Kingugi  kwa  Kisauti.

Mke  wa  Kingwendu  anayejulikana  zaidi  kwa  jina  la  mama  Maua, alikutwa  na  masahibu  hayo  Alhamisi  iliyopita  baada  ya  kuvamiwa  na  Upunguvuku  anayedaiwa  kuwa  alikuwa  amelewa  na  kuingizwa  kwenye  jumba  ambalo halijasha  kujengwa ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hongera Kingwendu Umepigana!

RASHID Mwinshehe Mzange ‘Kingwendu’ mgombea wa Ubunge kupitia CUF aliyekuwa akiungwa mkono na UKAWA afanya kazi nzuri baada ya kupata kura takribani 8,000 nyuma ya Mbunge aliyekuwa akitetea jimbo hilo kupitia chama cha CCM ndugu Seleiman Jafo.

Kingwendu ambaye ni msanii wa vichekesho Swahilihood ambaye ni kivutio katika tasnia ya filamu aliweza kuingia katika medani za kisiasa kuwania jimbo la Kisarawe kwa kujiamini kabisa bila uoga anastahili pongezi kama msanii.

Amaeleta upinzani kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani