SAJENT; ETI SASA VIMINI PEMBENI, SWALA NA YEYE!
![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3ViobPWSnBXZnameGtbUihGCnf3ROAVjRPaIxpv51EOcqYYFqQvl0JwtwpYUc-EeiMvAcyt3xtwPjHkI1c*r49lO/4.jpg?width=650)
Kama kawa, kama dawa leo kupitia safu hii tunaye mwanadada muigizaji Husna Idd ‘Sajent’. Wengi wanataka kujua siri ya ukimya wake hivyo mwandishi wetu Hamida Hassan alimtafuta na kumpiga maswali 10 kama ifuatavyo. Mwanadada muigizaji Husna Idd ‘Sajent’. Ijumaa: Husna, siku hizi huonekani kabisa kwenye anga za starehe, ni kwa nini? Au ndo tuseme umefulia? Sajent: Sajent wa sasa si yule watu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Nov
ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’ KWANI YEYE NANI?
![](http://api.ning.com/files/DmFIhqID0Fr7QwxJYVDTSE6eDxAATZjPwRH63Qx3N8St4aUmv2QOswC4GpCPpxWZbpcbs9Ogt-8blGVXnPjS-mfTAtb1IIJ-/couples.jpg?width=650)
Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi maisha ya huzuni wakati tunayo haki ya kuishi maisha yenye furaha.
Ukweli ni kwamba, kila mtu anao uhuru wa kupenda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FpZPAQ2WI85-YmvgneV*XnYrO39FEqY1X*pB7-HjEEiGlVU6p3hFgWBx-RxvnEufXIlhanwgJCPi6nQ3hxMUtxJ/Love.jpg?width=650)
ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’ KWANI YEYE NANI?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfA8WkPZCi6P8Gy8W5yMPdOPlAv3wyr3RHGIiN8BjfGSEAm9sIbHwV81GITVms-BC6n4MHSlkF3CmjI7Yo3ReLEy/Loves..jpg)
ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’, KWANI YEYE NI ‘OKSIJENI’?
9 years ago
Bongo528 Dec
Mr Blue adai jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa alilianzisha yeye!
![10576220_206062963068992_1265041402_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/10576220_206062963068992_1265041402_n-300x194.jpg)
Mr Blue anadai chake.. kwa mujibu wa Kabayser, jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa kwenye post zake kwenye mitandao ya kijamii alilianzisha yeye wiki kadhaa zililopita baada ya kupewa na mashabiki wake.
“Naikumbuka hii post niliipost miezi saba iliyopita pale watu waliponiita jina la simba…ila inanishangaza kuona baada ya muda watu wengi wakijiita jina hili …hiii inanionesha kuwa mi ni mbunifu wa hali ya juu..na watu husubiri mimi nifanye ili waige….#mfanowakuigwa$,” Blue ameandika kwenye...
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOYdYnxDvTQ*oKYaF*ksKVwbMJnOt2nN5FD8hOt*Pl27yiVY8gFSzkei2V-vbGG099t3B8K5U799U2QUMUxYXNaF/sajent.jpg?width=650)
SAJENT: NITAZAA KIJIJI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXWRIU-wg2EFETeIuEMc7Tlxa-LzCt0JB*NvSWWk1FguAUrKjk5UNMgp1ObV-C4JdYEDMp7-TU4X-6ZhuOmku9--/Sajent.jpg)
MAIMARTHA AMUUMBUA SAJENT
9 years ago
Bongo Movies19 Nov
Sajent na Nisha Wamgombea Bwana
WAIGIZAJI wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ na mwenzake Salima Jabu ‘Nisha’ wanadaiwa kuwa katika ugomvi mkubwa kumgombea msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Barakah Andrew ‘Barakah Da Prince’
Chanzo makini kilicho karibu na wasanii hao kinasema Sajenti ndiye aliyeingilia kati penzi la wawili hao baada ya ujumbe wake wa simu kukutwa katika simu ya mkali huyo wa Bongo Fleva ambaye amekuwa katika uhusiano na Nisha kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
“Kuna siku Nisha alifuma meseji kwenye simu ya...