Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sam Nujoma: Shujaa aliyeokolewa na wana-TANU 2

Kama tulivyoona wiki jana, Sam Nujoma, alikuwa Rais wa kwanza wa Namibia huru ambaye baadaye aliamua kung’atuka kwa hairi yake na kuacha madaraka yake kwa Hifikepunye Pohamba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sam Nujoma: Rais aliyeokolewa na wana-TANU

Samuel Daniel Shafiishuna Nujoma, au Sam Nujoma kama alivyokuwa akijulikana na wengi, ni rais wa kwanza wa Namibia kuanzia mwaka 1990 hadi 2005.

 

11 years ago

GPL

DARAJA LA UBUNGO SAM NUJOMA HATARINI

Maji yakiwa mengi chini ya daraja hilo. Vijana wakichimba mchanga chini ya daraja hilo. Muonekano…

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MSTAAFU WA NAMIBIA MHE. SAM NUJOMA,IKULU JIJINI DAR LEO

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma Ikulu jijini Dar es salaam aliyemtembelea leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru...

 

9 years ago

Mwananchi

Aliyeokolewa mgodini, amuulizia Lowassa

Mmoja wa watu waliokuwa wamefunikwa na kifusi chini ya ardhi kwa siku 41, juzi jioni alizinduka na muda mfupi baadaye akaulizia kama aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameshinda Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41 afariki

MMOJA wa majeruhi watano waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na kufukiwa na kifusi cha mchanga na kukaa siku 41 chini ya mgodi na kuokolewa, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeokolewa baada ya siku 41 mgodini afariki

Mmoja wa wachimbaji migodi waliookolewa baada ya kufukiwa na vifusi kwa siku 41 mgodini ameaga dunia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU KIPALULE: Mamalishe aliyeokolewa kuuza baa, uchangudoa

“KUNA watu wanafikiria kufanya kazi baa ni kupenda, hapana kama mimi niliifanya kazi hiyo na kuuza mwili kutokana na umaskini wa kipato niliokuwa nao na kukosa elimu itakayoweza kuniongoza katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuwaheshimu wanawake wa TANU

YA kale ni dhahabu. Ukiona kinaelea kimeundwa! Usemi huu umekuwa ukitumika katika masuala mbalimbali. Na leo nimependa nianze na maneno haya katika makala yangu. Katika safu yangu hii, nimewahi kuandika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani