Samia: CCM itahakiki wazee na kuwalipa mafao
ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeweka mikakati ya kufanya uhakiki wa wazee nchi nzima ili kuweza kupata idadi yao kamili na hatimaye, kuwapatia mafao ya kuwawezesha kuishi maisha yao ya uzeeni bila tabu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Bil. 1/- yatengwa kuwalipa wazee wa mahakama
KATIKA mwaka wa fedha 2014/15 Wizara ya Katiba na Sheria imetenga sh bilioni 1.5 kwa ajili ya malipo ya wazee wa mahakama. Ahadi hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri...
10 years ago
Michuzi
Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi




10 years ago
Habarileo01 Sep
Samia: Wanawake ichagueni CCM
MGOMBEA mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake kuipigia kampeni na kukichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kirudi madarakani. Samia alitoa mwito huo mjini Dodoma jana na kueleza kuwa wanawake ni nguzo muhimu kwa chama hicho, hivyo wanalo jukumu kubwa kuhakikisha CCM inashinda.
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Machali awashukia wazee CCM
WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kujifanya wao ndiyo magwiji na walimu wa muungano kuliko wengine. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Mjumbe wa Bunge Maalumu la...
10 years ago
Habarileo12 Jul
Wazee wamaliza msuguano CCM
BARAZA la Ushauri la Chama Cha Mapinduzi (CCM), lenye wajumbe wazee wenye uzoefu, jana lilizima hoja kinzani ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ambazo zilikuwa zinataka kurejeshwa kwa jina la Edward Lowassa katika kuwania uteuzi wa urais.
11 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Mwenyekiti CCM awaangukia wazee
MWENYEKITI wa Kijiji cha Mlamleni Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Hamisi Linyimuka (CCM), amewaomba radhi wazee wa mtaa wa Videte kwa kosa la kumilikisha ardhi. Hatua hiyo ilikuja baada ya Mwenyekiti...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Samia: Ilani ya CCM itaboresha ufugaji
MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2015/20 imejizatiti kuendeleza sekta ya mifugo kwa kuongeza uzalishaji wa mitamba na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi na ufugaji wa kisasa.
10 years ago
Habarileo13 Jul
Samia awa mgombea mwenza CCM
KWA mara ya kwanza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua mwanachama wake mwanamke kuwa mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu waOktoba 25, mwaka huu na kuweka historia.
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Samia ajitapa CCM kuumaliza mgogoro