Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee wamaliza msuguano CCM

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) alipoingia ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM. Waliosimama mbele ni wajumbe waalikwa wa kikao hicho kutoka Baraza la Ushauri la Wazee, Marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa na wengine ni Makamu Wenyeviti wastaafu wa CCM, John Malecela, Pius Msekwa na Amani Abeid Karume. (Picha na Bashir Nkoromo). BARAZA la Ushauri la Chama Cha Mapinduzi (CCM), lenye wajumbe wazee wenye uzoefu, jana lilizima hoja kinzani ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ambazo zilikuwa zinataka kurejeshwa kwa jina la Edward Lowassa katika kuwania uteuzi wa urais.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Machali awashukia wazee CCM

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kujifanya wao ndiyo magwiji na walimu wa muungano kuliko wengine. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Mjumbe wa Bunge Maalumu la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti CCM awaangukia wazee

MWENYEKITI wa Kijiji cha Mlamleni Wilaya ya Mkuranga mkoani  Pwani, Hamisi Linyimuka (CCM), amewaomba radhi wazee wa mtaa wa Videte kwa kosa la kumilikisha ardhi. Hatua hiyo ilikuja baada ya Mwenyekiti...

 

9 years ago

Habarileo

Wazee waitaka CCM kutohangaika na wanaohama

WAZEE mkoani Rukwa wametamka hadharani kuwa CCM ni chama chenye heshima kubwa kwa kuwa na Ilani ya Uchaguzi bora na yenye heshima.

 

11 years ago

Mwananchi

Wazee wa CCM wadai kupoteza imani na Kificho

Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, limesema limepoteza imani na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho kutokana na waraka aliouandika na kuwasilishwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa niaba ya Baraza la Wawakilishi ukipendekeza Tanganyika na Zanizbar ziwe mamlaka huru za dola.

 

11 years ago

Habarileo

CCM Marekani serikali 2, wazee Z’bar wamfagilia JK

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), tawi la jijini Washington DC, Marekani wametoa tamko la kuunga mkono muundo wa serikali mbili, wakisema umewaweka Watanzania katika hali ya umoja na mshikamano kwa miaka ipatayo 50 sasa.

 

11 years ago

Habarileo

Wazee CCM: Wabunge teteeni serikali mbili

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuhakikisha wanatetea muundo wa Muungano wa serikali mbili.

 

9 years ago

Habarileo

Samia: CCM itahakiki wazee na kuwalipa mafao

ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeweka mikakati ya kufanya uhakiki wa wazee nchi nzima ili kuweza kupata idadi yao kamili na hatimaye, kuwapatia mafao ya kuwawezesha kuishi maisha yao ya uzeeni bila tabu.

 

11 years ago

Michuzi

Wazee wa CCM Zanzibar Wamtembelea Rais Kikwete ikulu Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wazee wa CCM kutoka Zanzibar mara baada ya wazee hao kumtembelea na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. Picha na Freddy Maro wa Ikulu

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri (katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan, akijiandaa kutoa msaada.

MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-

YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani