Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SANDRA AWATAKA AUNT, SAJENT KUNYONYESHA

Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Salama Salmini `Sandra’ amewataka wasanii wenzake, Aunt Ezekiel na Husna Idd ‘Sajent’ kuwanyonyesha watoto wao na kuachana na imani kuwa kufanya hivyo kutawachakaza. Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini `Sandra’. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Sandra alisema wasanii hao muda mwingi wanaonekana kwenye kampeni wakati wana watoto wachanga, hivyo aliwasihi kuhakikisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAIMARTHA AMUUMBUA SAJENT

Na Hamida Hassan
Kumekuwa na madai kuwa, mwanadada Husna Sajent ameolewa na msanii mwenzake wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo’ lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha! Hata hivyo, juzikati Maimartha Jesse ‘Mai’ alimwaga mchele mbele ya kuku kwa kumuita Husna ‘Mrs Gabo’. Maimartha Jesse ‘Mai’. Mai alifanya hivyo pale alipokuwa akiwatambulisha mastaa waliohudhuria sherehe ya ‘baby...

 

11 years ago

GPL

SAJENT: NITAZAA KIJIJI

Stori: Hamida Hassan KIMWANA Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’ amesema kuwa anapenda watoto hivyo yupo radhi kuzaa watoto wengi kupita maelezo hata kijiji kizima. Kimwana Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’. Sajent alifunguka hayo baada ya kuulizwa na safu hii kama ana mpango wa kuzaa tena tofauti na mtoto aliyezaa na Prezidaa wa Mashujaa Music Band, Charles Baba ‘Chaz Baba’....

 

10 years ago

BBCSwahili

Kunyonyesha muda mrefu ni faida?

Utafiti uliofanyika nchini Brazil umebaini kuwa watoto wanaonyonya kwa muda mrefu wanakuwa na akili zaidi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kunyonyesha kunaokoa maisha ya watoto

Umoja wa Mataifa unasema kuwa takriban watoto 800,000, walio chini ya mwaka mmoja wanaweza kuokolewa kila mwaka kwa kunyonyeshwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake wahimizwa kunyonyesha watoto

WANAWAKE nchini wamehamasishwa kuwanyonyesha maziwa ya mama pekee watoto wachanga katika saa moja mara baada ya kujifungua hadi miezi sita bila kuwapa kitu chochote ikiwemo maji na juisi kwa kuwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Iwezekane kunyonyesha na kufanya kazi

MAADHIMISHO ya Wiki ya Unyonyeshaji yanaanza kesho yakiwa na kaulimbiu ‘unyonyeshaji na kazi, hakikisha inawezekana.’

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, maadhimisho haya yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma, yakilenga kuhakikisha afya ya mtoto inaboreshwa.

Kimsingi ni jukumu la mama kuhakikisha ustawi wa mtoto kwa kumpa haki yake ya kunyonya maziwa yake, tena kikamilifu.

Hili linatokana na ukweli kuwa, maziwa ya mama yana vitamini na virutubisho muhimu...

 

9 years ago

Bongo Movies

Sajent na Nisha Wamgombea Bwana

WAIGIZAJI wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ na mwenzake Salima Jabu ‘Nisha’ wanadaiwa kuwa katika ugomvi mkubwa kumgombea msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Barakah Andrew ‘Barakah Da Prince’

Chanzo makini kilicho karibu na wasanii hao kinasema Sajenti ndiye aliyeingilia kati penzi la wawili hao baada ya ujumbe wake wa simu kukutwa katika simu ya mkali huyo wa Bongo Fleva ambaye amekuwa katika uhusiano na Nisha kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

“Kuna siku Nisha alifuma meseji kwenye simu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Washauriwa kutoacha kunyonyesha sababu ya kazi

WANAWAKE waajiriwa wanaonyonyesha wameshauriwa kukamua maziwa na kuyahifadhi kwa ajili ya watoto wao, wanyweshwe wakati wakiwa kazini.

 

11 years ago

GPL

CHAZ BABA: SAJENT AMEGOMEA MWANANGU

Na Musa Mateja
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa anatamani kuishi na mwanaye aliyezaa na mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ lakini mzazi mwenziye huyo amekuwa akimgomea. Prezidaa wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Akizungumza na paparazi wetu, Chaz Baba alisema kabla hajaoa alikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani