Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SCOTLAND HOI KWA ENGLAND YAPIGWA BAO 3-1

Wachezaji wa timu ya England wakishangilia baada ya mechi kumalizika dhidi ya Scotland katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa kuamkia leo na kuwalaza wenyeji Scotland mabao 3-1 . Alex Oxlade-Chamberlain akifunga bao la kwanza kwa England dakika ya 32 kipindi cha kwanza.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ENGLAND HOI KWA ITALIA

Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu. Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuisawazishia England katika dakika ua 37.…

 

11 years ago

GPL

ENGLAND HOI KWA URUGUAY, YACHAPWA 2 -1

Mshambuliaji wa timu ya Uruguay, Luis Suarez akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 39 kipindi cha kwanza. Luis Suarez akipiga mpira kichwa kufunga bao la kwanza.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Aston Villa hoi yapigwa na Tottenham 3-1

Aston Villa imepata kipigo kutoka kwa Tottenham 3-1

 

10 years ago

BBCSwahili

Klabu za England hoi kimataifa

Jana usiku viwanja kadhaa viliwaka moto, katika michuano ya ligi ya Europa wakati timu kadhaa ziliposhuka dimbani katika hatua ya 16 bora.

 

10 years ago

BBCSwahili

England hoi kombe la dunia la kriketi

Timu ya kriket ya England imeambulia kichapo baada ya kukubali kuchapwa na New Zealand kwa jumla ya wiketi 8.

 

10 years ago

GPL

Bao la Jaja latua England

Mshambuliaji wa Yanga, Geilson Santana ‘Jaja’ akishangilia goli.
Na Wilbert Molandi
KWELI alichokifanya mshambuliaji wa Yanga, Geilson Santana ‘Jaja’ raia wa Brazil kupitia bao lake alilofunga dhidi ya Azam, si kitu kidogo. Sasa baadhi ya mitandao, Watanzania na raia wengine kutoka katika nchi za Afrika Mashariki wanaoishi nchini England na Marekani, wamepata kipande cha video kinachoonyesha bao...

 

10 years ago

Vijimambo

ARSENAL YAIFUNGA HULL CITY BAO 3-1 KATIKA LIGI KUU ENGLAND

Timu ya soka ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Hull City katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. Mlinda mlango wa Hull City, Steve Harper akiwa hana la kufanya zaidi ya kuuangalia mpira ukijaa wavuni.Ikicheza ugenini katika uwanja wa KC, washika bunduki hao wa jiji la London walionyesha kandanda la hali ya juu na kuonyesha ubora wao wa kumiliki mpira hadi mwisho wa mchezo wao.
Mabao mawili toka kwa mshambuliaji wake mwenye kasi Alexis Sanchez...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi

12237221_1669908713222926_427056748_n

Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni shangwe na hoi hoi Ujerumani

Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamekusanyika tangu asubuhi mjini Berlin kuwakaribisha wachezaji wa timu ya taifa ya soka ambayo ilishinda kombe la dunia Brazil.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani