Sefue awachefua wabunge
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue
Wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitarajiwa kumkabidhi Spika wa Bunge, Anne Makinda ripoti ya ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali (CAG) kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow kufuatia madai ya uchotwaji wa Dola za Marekani milioni 200 (Sh. bilioni 320), jana wabunge walichachamaa wakiituhumu serikali kuingilia uhuru wa Bunge.
Wabunge hao walionyesha wasiwasi juu ya uwezekano wa kutowasilishwa bungeni kwa ripoti za uchunguzi wa kashfa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
RPC Msangi awachefua CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mbeya Mjini kimetoa siku tatu kwa Kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi, kukanusha kauli yake aliyotoa hivi karibuni ya kuwa...
11 years ago
GPLYANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Balozi Sefue aonya
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amewataka watumishi wa umma nchini kuzingatia sheria, kanuni na taratibu ili kuleta tija kwenye maeneo yao ya kazi. Sefue aliyasema hayo jijini Dar es...
10 years ago
TheCitizen12 Dec
Sefue: We’re not surprised at decision
10 years ago
Vijimambo09 Mar
Kinana amvaa Sefue.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kinana-09March2015.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemuomba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kuwasimamisha kazi watumishi wa serikali wanaihusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu Tanzania (Bot) hadi hapo tuhuma dhidi yao zitakamalizika.
Kinana alitoa ombi hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Dodoma juzi jioni ikiwa ni sehemu...
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Aliyejifanya Balozi Sefue mbaroni
9 years ago
Habarileo23 Nov
Balozi Sefue kukagua Muhimbili
BAADA ya Rais John Magufuli, kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge zipelekwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kununulia vitanda vya wagonjwa, leo Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue anatarajia kufanya ziara katika hospitali hiyo.
9 years ago
Habarileo24 Nov
Sefue: Madaktari serikalini kudhibitiwa
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) na kuwasilisha maagizo ya Rais John Magufuli ambayo ni kuwataka madaktari wote nchini, kuhakikisha wanatumia muda wao kazini na si kufanya mambo yao binafsi.
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Balozi Sefue atema cheche
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
SERIKALI imewataka viongozi waandamizi wanaoendelea kutumia risiti za kuandikwa kwa mikono katika makusanyo ya serikali kuachia ngazi kwa kuwa wameshindwa kudhibiti mapato ya serikali.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipokuwa akifungua mkutano wa faragha wa mwaka wa makatibu wakuu, manaibu na makatibu tawala wa mikoa.
Sefue alisema mfumo ya kukusanya mapato kwa kutumia risiti zilizoandikwa kwa mikono unasababisha uvujaji mkubwa...