Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sekta mbalimbali zinavyobadili sera za kiutendaji kulinda wafanyakazi na kupunguza maambukizi

MLIPUKO wa homa ya kirusi cha corona umelazimisha sekta nyingi kutazama upya namna zinavyoendesha kazi zake. Katika juhudi za kupunguza maambukizi na kulinda wafanyakazi sekta nyingi zimejaribu kutengeneza sera mpya kiutendaji. 
Nchini Tanzania, Mamlaka ya Usafiri wa Anga mwanzoni ilichukua hatua ya kuzuia ndege zote za Kimataifa huku uamuzi pia ukifanyika kufunga shule kwa muda, kusitisha shughuli za kimichezo na mikusanyiko mikubwa ya umma mpaka pale hali itakapoonekana walau...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU.

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), imeboresha hali ya vitendea kazi katika sehemu ambazo ni hatarishi zaidi ili kulinda watendaji wake dhidi ya maambukizi ya vvu yanayoweza kutokana na mazingira ya kazi

 

5 years ago

Michuzi

KUPINGA UNYANYAPAA CHACHU YA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI MAPYA


Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai akifungua Kongamano la siku mbili la viongozi wa dini watu wanaoishi na maambukizi lililoandaliwa na Bunge na Baraza la watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi Nacopha iliofanyika jijini Arusha leo


Na Ahmed Mahmoud Arusha

Taarifa sahihi za unyanyapaa zikifanyiwa kazi itasaidia kuwafichua watu wenye maambuzi mapya na kuendeleza vita ya kupigana na Ugonjwa wa ukimwi nchini.

Pia Baraza la watu wanaoishi na virusi vya ukimwi Nacopha kupitia mradi wa hebu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uganda yazindua sera mpya ya usafiri kudhibiti maambukizi

Serikali ya Uganda imezindua sera karantini kwa wasafiri wanaowasili nchini humo kutoka mataifa 16 yaliyo kwenye 'hatari zaidi' ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana: Tutazidi kulinda maslahi ya wafanyakazi


NA WAANDISHI WETU, DODOMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abrahaman Kinana, amesema Chama kitaendelea kuwa karibu na wafanyakazi katika kuhakikisha maslahi yao yanapatikana. .
Kinana alisema hayo jana alipokuwa akipokea kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Nyumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) katika ukumbi wa CCM Makao Makuu, mjini hapa.
Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea wenyewe lakini kwa sasa kutokana na kupokea kadi hiyo kunakifanya chama kuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mvulana wa miaka 9 avumbua njia ya kupunguza maambukizi Kenya

Mbunifu kutoka Kenya mwenye umri wa miaka tisa amevumbua njia ya kijanja na ya kipekee ya kunawa mikono, ambayo inapunguza kusambaa kwa virusi vya corona.

 

11 years ago

BBCSwahili

Barclays kupunguza wafanyakazi elfu 19

Benki ya Barclays ya Uingereza imepanga kupunguza wafanyakazi 19,000 ifikapo mwaka 2016.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vinu vya mafuta kupunguza wafanyakazi

kampuni ya mafuta Talisman Sinopec imetangaza kupunguza wafanyakazi wake wapatao mia tatu kutoka katika uzalishaji .

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yazidi kujikita kulinda Usalama wa wafanyakazi wake

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua kampeni maalum ya kuhamasisha wafanyakazi wake kuhakikisha uendeshaji wa magari na vyombo vingine vya moto unaozingatia usalama ili kulinda afya na usalama wao wawapo barabarani.
Vodacom ambao ni washindi wa tuzo ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi inayotambuliwa na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) imezindua kampeni hiyo ikiwa ni mwendelezo wa jitihada mbalimbali inazozichukua katika kuhakikisha usalama wa wafanyakazi wake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muhongo ataka sera ya afya kwa wafanyakazi

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amewaagiza makamishna na wakurugenzi wa sekta ya afya kuweka sera ya wafanyakazi kupima afya mara kwa mara. Alitoa agizo hilo mjini hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani