Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Semi-Trela likiwa limebeba kontena limeanguka baada ya kulielemea

Semi-Trela likiwa limebeba kontena likiwa limeanguka baada ya kulielemea kwa uzito na kulivunja daraja la chuma katika barabara ya Banana-Kinyerezi maeneo ya Tabata jijini Dar es salaam jana jioni. Haikuweza kufahamika mara moja lilikuwa limebeba mzigo gani na kama dereva alikuwa anajua daraja hilo ni kwa magari yenye uzito wa wastani wa tani 7 tu au ni kiburi tu. Hakika Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na jeshi lake wana kazi ya ziada kuhakikisha uzembe kama huu hautokei na...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GARI LAKAMATWA LIKIWA LIMEBEBA MAITI YENYE DAWA ZA KULEVYA MKOANI MOROGORO

Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro,Faustine Shilogile akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Hizi ndio baadhi ya Pipi zilitolewa tumboni mwa Marehemu Khalid Kitala. …

 

10 years ago

GPL

BASI LAUA BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA IRINGA

ABIRIA zaidi ya 40 wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Majinja ambalo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kufunikwa na kontena maeneo ya Mafinga mkoani Iringa muda huu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ni kwamba dereva wa basi alikuwa akijaribu kulipita lori ndipo walipondokewa na…

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LAUA ZAIDI YA ABIRIA 40 BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA IRINGA

Mmoja ya majeruhi akiokolewa na wasamalia wema.ABIRIA zaidi ya 40 wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Majinja Express ambalo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kufunikwa na kontena maeneo ya Changalawe, Mafinga mkoani Iringa muda huu.Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ni kwamba dereva wa basi alikuwa akijaribu kulipita lori ndipo walipodondokewa na kontena hilo.
Inadaiwa kuwa basi hilo lilikuwa limebeba abiria 65 na abiria nane tu ndiyo walionusurika katika ajali hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA

Watu zaidi ya 30 wanasadikiwa kupoteza na maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya sana katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam.
Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar kuelekea Mbeya kuligonga na kuliangukia basi hilo wakati lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo...

 

9 years ago

GPL

TRELA LA LORI LAPINDUKA JIJINI DAR LEO

Trela la lori lenye namba za usajili T863 AEF limepinduka mchana wa leo eneo la Polisi Ufundi, Barabara ya Kilwa jijini Dar. Ajali hiyo imetokea baada ya lori lililokuwa likivuta trela hilo kujaribu kukwepa gari dogo lililokuwa likitokea mbele yake.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mrembo anapoporwa wigi likiwa kichwani mwake!

WAHENGA walisema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, hivyo ndivyo nilivyojikuta mimi pamoja na watu wengine tukiwashangaa watu wawili kwa wakati mmoja kutokana na kitendo alichokifanya kijana aliyekuwa na sifa...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI :Taifa lisiingie kwenye uchaguzi likiwa limegawanyika

Gazeti hili liliwahi kuandika kuhusu utamaduni unaozidi kujengeka wa kugeuza kila jambo kuwa la dharura na kufanywa kwa haraka haraka kana kwamba Watanzania wapo kwenye nchi hii kwa muda.

 

11 years ago

Michuzi

GARI LIKIWA LINAOSHWA KATIKA ENEO HATARISHI MBEZI KWA YUSUFU

 Madereva wanatakiwa kuwa makini wanapo peleka magari kuosha kwa mfano gari hili ni la thamani kubwa lakini linaoshwa katika  hali ya kuhatarisha gari hilo kando kando ya barabara ya dar mororogo eneo la mbezi kwa yusufu jana jioni.

 

10 years ago

Precious Stones Seized In Cabo Delgado

Semi


Semi-Precious Stones Seized in Cabo Delgado
AllAfrica.com
Maputo — The Mozambican police in the northern province of Cabo Delgado have seized a truck carrying a container filled with 15 tonnes of semi-precious stones that were being smuggled to Tanzania, reports Wednesday's issue of the independent daily “O ...
Mozambique seizes Tanzania-bound truck load of precious stonesStarAfrica.com

all 2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani