Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serena Williums akerwa kuitwa ”kaka’.

Bingwa wa mchezo wa tenisi kwa upande wa akina dada duniani Serena Williams amekosoa matamshi aliyoyataja kuwa ya kibaguzi na kutojali ujinsia yaliotolewa na rais wa shirikisho la Tenisi nchini Urusi Shamil Tarpischev dhidi yake na dadaake Venus Williams.

 
Katika mazungumzo yake Tarpischev aliwaita kina dada hao wawili kama ”kaka wawili” .

 
Hatahivyo afisa huyo alipigwa faini ya pauni 15,500 na kupigwa marufuku ya mwaka moja kwa kutoa matamshi hayo aliyoyataja kama ya mzaha.

 
”Nadhani...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Bingwa wa tenisi akerwa kuitwa ''kaka'.

Bingwa wa mchezo wa tenisi kwa upande wa akina dada duniani Serena Williams amekosoa matamshi ya Tarpischev.

 

11 years ago

Mwananchi

Kawambwa akerwa daraja la tano kuitwa sifuri

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga matokeo, kuitwa sifuri.

 

11 years ago

Habarileo

Zitto akerwa kuitwa mwongo, ‘kulipuka’ bungeni

 Kabwe ZittoMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, amesema anatarajia kuwasilisha maelezo binafsi kuhusu, kauli ya Mwanasheria Mkuu aliyoitoa juzi bungeni dhidi yake na kumuita muongo kuhusu suala la kuwa na orodha ya watu wanaodaiwa kuficha fedha nje ya nchi.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Habarileo

Busungu ajipongeza kuitwa Stars

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Malimi Busungu amesema juhudi zake ndizo zilizofanikisha kutimia kwa ndoto zake za siku nyingi za kuitwa kuichezea timu ya taifa, Taifa Stars.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Achukia Kuitwa Mshamba

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford amewabwatukia baadhi ya watu ambao wanapenda kumsema kuwa yeye ni mshamba kwa kushindwa kutoka misele nyakati za usiku.

Akizungumza na mwandishi wa GPL, Shamsa alisema anawashangaa watu hao kumsema na kumjadili kwa watu wengine kuwa yeye ni mshamba kitu ambacho hakipendi kwani kila mtu ana aina yake ya maisha aliyoyachagua kuishi.

“Mimi sijawahi kumsumbua mtu hela ya kula hata siku moja kisa tu eti sijichanganyi na wanawake wa mjini, mimi familia...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nimechoka kuitwa fisadi

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana aliwataka wanaomhusisha na ufisadi kuacha mara moja kwa sababu hakuna hata chembe ya ukweli katika tuhuma hizo.

 

11 years ago

GPL

HEMED ACHUKIA KUITWA TOZI

Stori: Brighton Masalu
MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘PHD’ amefunguka kuwa anachukizwa na tabia ya watu kumwita tozi au mtu wa maringo. Hemed Suleiman ‘PHD’. Hapa anafafanua: “Wananihukumu kwa macho, mimi siyo tozi ila usafi wangu na kutoonekana mara kwa mara kunanifanya nionekana hivyo lakini kiuhalisia siko hivyo.”…
...

 

10 years ago

GPL

TIKO AKATAA KUITWA GOGO

Stori: laurent samata
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan. Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani