Zitto akerwa kuitwa mwongo, ‘kulipuka’ bungeni
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, amesema anatarajia kuwasilisha maelezo binafsi kuhusu, kauli ya Mwanasheria Mkuu aliyoitoa juzi bungeni dhidi yake na kumuita muongo kuhusu suala la kuwa na orodha ya watu wanaodaiwa kuficha fedha nje ya nchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV20 Oct
Serena Williums akerwa kuitwa ”kaka’.
Bingwa wa mchezo wa tenisi kwa upande wa akina dada duniani Serena Williams amekosoa matamshi aliyoyataja kuwa ya kibaguzi na kutojali ujinsia yaliotolewa na rais wa shirikisho la Tenisi nchini Urusi Shamil Tarpischev dhidi yake na dadaake Venus Williams.
Katika mazungumzo yake Tarpischev aliwaita kina dada hao wawili kama ”kaka wawili” .
Hatahivyo afisa huyo alipigwa faini ya pauni 15,500 na kupigwa marufuku ya mwaka moja kwa kutoa matamshi hayo aliyoyataja kama ya mzaha.
”Nadhani...
10 years ago
BBCSwahili19 Oct
Bingwa wa tenisi akerwa kuitwa ''kaka'.
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Kawambwa akerwa daraja la tano kuitwa sifuri
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Mbowe akerwa na utoto bungeni
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Zitto awavaa TRA, akerwa na Misamaha ya kodi
11 years ago
Mwananchi30 May
Wapinzani bungeni wamkaanga Zitto
10 years ago
Zitto Kabwe, MB06 Jul
Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni
Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni
Kwa uzito na mahala unapofanyika mkutano huu, naomba niwaletee kwa muhtasari kabisa baadhi ya kazi ambazo Ndugu Zitto Kabwe amezifanya katika kusukuma mbele guruduma la maendeleo katika nchi yetu.
MABADILIKO SEKTA YA MADINIZitto alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa mbunge mwaka 2005 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini ambalo halina mgodi hata mmoja wa madini ukiachana na wachimbaji wadogo wa udongo wa Pemba ambao una soko kubwa hapa Kariakoo jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Zitto: Tukutane ‘bungeni’ Novemba
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Zitto awaanika Lembeli, Msigwa bungeni
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amemshangaa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, pamoja na kamati yake kwa kushindwa kumchukulia hatua Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, licha ya kushindwa kutekeleza agizo la Mahakama.
Kauli hiyo aliitoa bungeni mjini Dodoma jana alipokuwa akichangia taarifa ya utekelezaji wa kazi za Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kwa mwaka 2014.
Katika taarifa hiyo...