Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikai ya kijeshi kuunda bunge Thailand

Kiongozi wa jeshi nchini Thailand ametangaza bunge jipya ambapo wanajeshi wengi watachukua viti vingi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Sheria ya kijeshi yatangazwa Thailand

Jeshi la Thailand limetangaza sheria za kijeshi katika juhudi za kurejesha utulivu wakati nchi hiyo imekumbwa na mzozo wa kisiasa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pakistani kuunda mahakama za kijeshi

Bunge nchini Pakistani limepitisha maamuzi kuunda mahakama za kijesshi

 

11 years ago

Habarileo

Rais kuunda Bunge Maalumu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph WariobaRAIS Jakaya Kikwete amealika makundi mbalimbali kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na wasiozidi tisa kwa ajili ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yataja rasmi makundi ya kuunda Bunge Maalumu la Katiba

>Serikali imeyataka makundi mbalimbali ya watu yanayopenda majina yao kuteuliwa kuwa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kufanya hivyo kabla ya Januari 2, 2014 saa tisa alasiri.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine yajizatiti kijeshi

Ukraine imeagiza kuimarisha vikosi vyake katika kukabiliana na Urusi katika jimbo la Ukraine la Crimea.

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga yajifua kijeshi


Wachezaji wa Yanga mazoezini 
Ilikuwa pale pembezoni mwa Hospitali ya Aga Khan ambapo kikosi hicho kikiwa chini ya makocha wao, Hans Pluijm na Charles Boniface Mkwasa kilifanya mazoezi hayo makali yaliyolenga kuimarisha nguvu kwa wachezaji hao.YANGA kweli imepania msimu ujao. Kwani baada ya kupiga tizi kwenye Uwanja wa Karume, Ilala kikosi cha timu hiyo kimehamia ufukweni kufanya mazoezi fulani ya nguvu kama wanajeshi.
Ilikuwa pale pembezoni mwa Hospitali ya Aga Khan ambapo kikosi hicho kikiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tusigeuze nchi gwaride la kijeshi

KATIKA siku za nyuma Watanzania wengi, Bara na Visiwani, walionekana kupumua pale Serikali ambayo ilikuwa ikipenda kutumia amri, badala ya sheria ilipoonekana kuwa na uvumiivu kwa watu kujieleza na kutoa maoni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya kijeshi yaanguka Nigeria

Helikopta ya kijeshi ya Nigeria imeanguka katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yaanzisha mazoezi ya Kijeshi

Urusi imeanza mazoezi makali ya kivita yanayojumuisha kikosi cha anga cha wanajeshi 150

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani