Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kudhibiti wasichana kwenda China

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Mambo Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mkumbwa AllySERIKALI imesema iko katika mikakati kuhakikisha inadhibiti vitendo vya wasichana kwenda China bila sababu maalumu ikiwa ni njia ya kudhibiti vitendo vya watoto wa kike kujihusisha kwa biashara ya ukahaba nchini humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tanzania, China kudhibiti bidhaa feki

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limeingia mkataba na Serikali ya China kufanya ukaguzi na kudhibiti uingizwaji wa bidhaa feki nchini.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yaipongeza China kudhibiti biashara meno ya Tembo.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa zote zitokanazo na meno ya Tembo kutoka sehemu yoyote duniani kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa kusema hatua hiyo itasaidia kumaliza mauaji ya wanyama hao.

 

Uamuzi huo wa China unatokana na ushawishi wa Viongozi wa Afrika chini ya Rais Jakaya Kikwete na mataifa washiriki duniani ya Amerika, Ujerumani, Jumuiya ya Ulaya, Uingereza na Serikali ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bashir kusafiri kwenda China

Rais wa Sudan Omar al-Bashir anatarajiwa kusafiri kwenda nchini China na kupuuza waranti wa kakamatwa dhidi yake

 

5 years ago

Michuzi

RAIA WA CHINA WAZIDI KUKUMBANA NA ZUIO LA KUSAFIRI KUDHIBITI KUENEA KWA VIRUSI VYA COVID 19

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

NUSU ya idadi ya raia wa China ambao wamefikia zaidi wa watu milioni 780 wamekumbana zuio la kusafiri ikiwa ni sehemu ya mlengo wa Mamlaka husika inayoendelea  kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona (Covid 19)

Tangu virusi hivyo vimeikumba nchi hiyo takribani watu 1,770 wamepoteza maisha huku watu 70,000 wakiwa wameambukizwa virusi hivyo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la Utangazaji CNN imeelezwa kuwa kumekuwa na zuio la safari na msisitizo kwa watu...

 

10 years ago

Vijimambo

Meno ya Tembo yakamatwa Zurich yakitokea Tanzania kwenda China


The Associated Press
Confiscated Ivory displayed at Zurich Airport in Kloten on Tuesday, Aug. 4 , 2015. Swiss authorities say customs officials at Zurich airport have seized 262 kilograms (578 pounds) of ivory that three Chinese men had dispatched from Tanzania. Switzerland's customs authority said Tuesday that the ivory — found during a security check on July 6 and packed in eight suitcases — had an estimated black market value of about 400,000 francs (US $413,000). (Walter Bieri/Keystone via AP)

BERLIN (AP) —...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kudhibiti upotevu wa maji

 Zaidi ya asilimia 55 ya maji yanayozalishwa kwa matumizi Mkoa wa Dar es Salaam, yanapotea kabla ya kuwafikia watumiaji kutokana na kuvuja, wizi na uchakavu wa miundombinu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kudhibiti matumizi kemikali

>Katika kupambana na matumizi mabaya ya kemikali, Serikali inaandaa kanuni zitakazosimamia matumizi mabaya ya kemikali hizo hapa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanza kudhibiti Shilingi

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.SERIKALI imesema imeshaanza kuchukua hatua za kudhibiti kuporomoka kwa kasi kwa Shilingi. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Fedha Masoko wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Alexander Ng’winamila, alisema kamwe Serikali haiwezi kulikalia kimya suala hilo.

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)IFUATAYO NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA ILIVYOWASILISHWA LEO NA KINANA  Jana tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani