Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatoa maelekezo ujio wa ndege ya Askofu Gwajima

Serikali kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imekana kuwa na taarifa ya ndege iliyonunuliwa na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima nchini Marekani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YATOA MAELEKEZO YA ULIPAJI ADA KWA SHULE ZA PRIVATE

 Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako

Maelekezo ya Ulipaji Ada kwa shule zisizo za Serikali baada ya Janga la Corona.


 

10 years ago

Mtanzania

Askofu Gwajima taabani polisi

NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM

HALI ya afya ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, imebadilika ghafla baada ya kushindwa kupanda ngazi katika ofisi za Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana.

Askofu Gwajima alifika kituoni hapo saa 2 asubuhi akiwa ameongozana na maaskofu zaidi ya watano.

Katika hali ya kushangaza, wakati akipanda ngazi kuelekea kwa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, alifanikiwa kupanda mbili, lakini alipojaribu ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Sura mbili za Askofu Gwajima

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukamatwa na kuhojiwa na polisi na hatimaye kuzimia, utata mpya umeibuka juu ya kiongozi huyo wa kiroho.
Utata huo unahusu uraia, historia yake, utajiri na umiliki wa silaha ambayo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadai haina kibali huku yeye akidai ana vibali vyote.
Hali hiyo imeibuka huku nyuma ya pazia kukiwa na sintofahamu juu ya hatima yake.
Ingawa Askofu Gwajima,...

 

10 years ago

GPL

KILICHOMPONZA ASKOFU GWAJIMA CHAJULIKANA

Na Waandishi Wetu
Imejulikana kwamba kilichomponza Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (pichani) pamoja na madai ya kutumia maneno yenye kuudhi kwa Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycap Kadinali Pengo mambo ya kisiasa yametajwa kuwa ndiyo msingi wa kushughulikiwa kwake. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Gwajima anadaiwa kushabikia upande mmoja wa kisiasa katika...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu Gwajima ajipalia makaa

Josephat GwajimaHATUA ya mawakili wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kutengeneza ubishi wa kisheria katika agizo la Polisi la kuwasilisha nyaraka za mali za Askofu huyo, imeelezwa kuwa ni ukaidi ambao hautamsaidia kisheria.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wamsaka Askofu Gwajima

Josephat GwajimaPOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wamefungua jalada la uchunguzi dhidi ya tuhuma za Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima za tuhuma za kumkashifu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo.

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima sasa aja kivingine

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameliombea Taifa ili liepukane na ajali za barabarani, akisema nyingi zinasababishwa na kafara zinazofanywa na baadhi ya watu aliowaita wabaya.

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima: Tatizo la Dk Slaa si Lowassa

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alitumia takribani saa moja na dakika saba kujibu mashambulizi ya Dk Willibrod Slaa, akisema kilichomuondoa Chadema si uamuzi wa kumpa Edward Lowassa nafasi ya kugombea urais, bali mkewe Josephine Mushumbuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani