SERIKALI YAWAFUTA MACHOZI WAJANE
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Grace Mwangwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Wajane Duniani ambayo huadhimishwa kila Juni 23. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto, Mwajuma Magwiza na kulia ni Mkurugenzi wa Chama cha Wajane Tanzania (TAWIA) Rose Sarwatt.
Mkurugenzi wa Chama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QDA_Hder4FI/XvHBvs1hMmI/AAAAAAALvCY/-DPixU5G2-ASyW6B1KVYIWC2V-R_7sUegCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault%25280%2529.jpg)
SIKU YA WAJANE DUNIANI, ZAIDI YA WAJANE MILIONI 250 WANAISHI KATIKA DIMBWI LA UMASIKINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-QDA_Hder4FI/XvHBvs1hMmI/AAAAAAALvCY/-DPixU5G2-ASyW6B1KVYIWC2V-R_7sUegCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault%25280%2529.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVKUPOTEZA wenza ni jambo linalovunja mioyo ya wanawake wengi duniani hasa kwa nchi zinazoendelea, wajane katika nchi hizo wamekuwa na muendelezo wa kutafuta mahitaji yao muhimu, haki zao pamoja na utu ambapo katika baadhi ya tamaduni nyingi za kiafrika huwachukulia wajane kwa namna ya tofauti ikiwemo kurithiwa na ndugu wa mume na...
11 years ago
Habarileo23 Jul
Ahmadiyya yasaidia vyakula wajane 80
TAASISI ya Jumuiya ya Kiislamu ya Ahmadiyya juzi ilitoa msaada wa vyakula kwa wajane 80 wa Kata ya Viwandani Manispaa ya Dodoma.
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Elimu ya ardhi yawaliza wajane
WAJANE katika Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro wameangua kilio mbele ya uongozi wa taasisi na asasi ya maendeleo ya elimu na maarifa ya Greenbelt Schools Trust Fund (GSTF) baada...
11 years ago
Habarileo17 Mar
Wajane wadhulumiwa kwa kuogopa kulogwa
WANAWAKE wajane wanaodhulumiwa mali baada ya kufiwa na waume zao wilayani Kyela, wamedaiwa kutofuata hatua za kisheria kwa kuogopa kurogwa na kudhalilisha ukoo.
10 years ago
GPLSIKU YA WAJANE DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Wajane wengi wafa kwa kukosa haki
BAADHI ya wanawake katika kata ya Magubike na Maguha, wilayani Kilosa, Morogoro, wamesema wanawake wengi wajane hufariki mapema kutokana na kukosa haki ya kumiliki mali ikiwemo ardhi wanapofiwa na waume...
10 years ago
Habarileo18 Jan
Viongozi wanaodai fedha kwa wajane waonywa
MWENYEKITI wa halmashauri ya mji wa Masasi ambaye pia ni Diwani wa kata ya Nyasa, Andrew Mtumusha ametoa onyo kwa watendaji wa kata, mtaa wenye tabia ya kudai malipo kutoka kwa vikundi vya wajasiriamali wajane pale vikundi hivyo vinapohitaji huduma ikiwemo ya kupitishiwa mihtasari yao ya benki.
11 years ago
Habarileo22 Dec
Wajane wasema hufa mapema kwa kukosa haki
BAADHI ya wajane katika Kata ya Magubike na Maguha wilayani Kilosa mkoani hapa, wamesema wengi wao wamekuwa wakifa mapema kwa kukosa haki ya kumiliki mali ikiwa ni pamoja na ardhi pindi wanapofiwa na waume zao.
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Wajane kata ya Msalala Mbeya wadai kupokonywa mali wanapokata kurithiwa
Baadhi ya wanahabari wanaoshiriki katika warsha ya mtandao wa kijinsia Tanzania (TGNP) wakiwa katika warsha ya siku mbili jijini Mbeya.
Baadhi ya waraghbishi wa ngazi ya jamii kutoka kata ya Msalama wilaya ya Mbeya vijijini wakiwa katika warsha hiyo.
Mwezeshaji wa warsha hiyo akiwaonyesha baadhi ya mambo yaliyoibuliwa na waraghbishi wa ngazi ya jamii wilaya ya Mbeya vijijini.
Na MatukiodaimaBlog
WAKATI serikali na wanaharakati mbali mbali wakiendelea ...